Mh..haya mapato ya gold yanaendaga wapi!!!....Tanzania gold exports jumps to $2.2bn: Report | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh..haya mapato ya gold yanaendaga wapi!!!....Tanzania gold exports jumps to $2.2bn: Report

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nderingosha, Mar 23, 2012.

 1. n

  nderingosha JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 3,526
  Likes Received: 1,313
  Trophy Points: 280
  Inasikitisha wakati mapato kwenye sekta ya madini(haswa gold)yakiongezeka....hali za maisha ya Watanzania zinazidi kuwa doro...yaani gap ya upungufu wa urari...accounts deficit ikiongezeka....mauzo ya gold nje(shipments of gold bullion from TZ)yamekuwa yanaongezeka......hii haingii akilini kabisa kwa nchi ambayo sasa ni ya tatu africa kwa gold production....Something is very wrong on our natural resources management......hivi hawa kina Ngeleja hii haiwaumi??....so sad yaani.....hivi ile sheria mpya ya madini inafanya kazi??....we can't go on like this yaani....

  Source: Tanzania gold exports jumps to $2.2bn: Report
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mkuu, ni makampuni ya madini ambayo ndiyo yananufaika na mapato haya. Sisi tunanufaika na ile sifa tu kwua Tanzania ni ya tatu wka uzalishaji wa dhahabu Afrika, basi
   
 3. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Mkuu swali lako ni zuri na linataka majibu yakinifu ila hautapewa majibu kamwe. Hata Nape hataweza kukujibu pamoja na kwamba anajifanya anapigania rasilimali za hii Nchi kwa manufaa ya Watanzania!! Huyo Ngeleja uliemtaja ndo hopeless and bogus minister. He has nothing to state, rather than porojo! Iko siku watajibu maswali yetu, wapende wasipende. Siku Mungu akipenda watajibu moja baada ya jingine! Kila jambo na wakati wake, wala usiwe na wasi Mkuu. Harakati ziendelee, maandiko yatatimia na hawatakuwa na mahali pa kutokea watakaposhindwa kutoa majibu yanayoeleweka! Hakuna salia Mtume!!
   
 4. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Iwaume nini, kwani wao wana shida si ndio wanazidi kununua SMG za kujilinda kwakuwa wanamini siku yoyote hasira ya watanzania itawashukia. Na wengine wanaleta kodi ya wenye nyumba wakati mpangaji ndio atakayoilipa eti unamsaidia mpangaji ***** tu
   
 5. F

  Froida JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Familia ya Jakaya Kikwete,Mkapa Ngereja and the likes ndio wanaonufaika na vitofali wananchi musipojinusuru wenyewe hao wataendelea kutajirika na kukufuru na watoto wenu wataendelea kukalia vitofali shuleni, kubambuka ngozi,mifugo yenu kufa,mimba za wake zenu kuchomoka,maji kuwaumiza matumbo ,wakati umefika wa wananchi kuuliza fedha hiyo inaenda wapi
   
 6. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Ngeleja katika majibu yake kwa Dr Slaa kuhusu utoroshwaji wa madini kwa ndege. Note anaposema "Labda tukizungumzia
  usimamizi
  ", hana uhakika na anayoyasema, tunaibiwa jamani.
   
 7. Imany John

  Imany John Verified User

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Ikumbukwe Jobeg ni mji uliojengwa na madini.
  Je TANZANIA TUTAWEZA?
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nadhani tunaitaji maamuzi kama waliochukua wenzetu Mali bse huu ni uporaji wa Gold yetu wa wazi wazi
   
 9. n

  nderingosha JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 3,526
  Likes Received: 1,313
  Trophy Points: 280
  Inauma mazee....kitu ambacho Watanzania wengi hawakijui ni kuwa madini kama gold...kwa asili yake ni non renewable resource...yaani yakishachimbwa hayarudi....infact, madini yote ni non renewable resources.....yakishachimbwa hayarudi...yanabaki mashimo tu....kwa wanaojua kule Mwadui kwenye almasi(diamond)..sehemu kubwa sasa almasi imekwisha...au imepungua saaana na ndio sababu hata wale walioanzaga kuchimba walishatimka.....pia kwa gold hali itakuja kuwa hivyo hivyo.......Watanzania lazima wajue kuwa kuna uwezekano mkubwa kuwa hii kasi ya ongezeko la mapato kwenye hii migodi ya gold inawezekana kuwa inatokana na jitihada za hawa majamaa wenye migodi kuongeza kasi ya kuchimba wakijua kuwa Watanzania nao wameanza kuamka na iko siku wataanza kudai kilicho chao......hivyo wanajitahidi kukamua wawezavyo...ili wakati, just in case, watu(watanzania)wakija amka mijamaa wanaweza kusepa na faida tele.....huku wakituachia mashimo..........nina uhakika kama kuna watu wanasoma upepo wa Watanzania kuamka basi ni hawa wazungu wenye kumiliki hii migodi mali yetu......wanajua iko siku watu wataanza kudai kilicho chao........
   
 10. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Hatima ya kurudisha chetu iko mikononi mwetu wenyewe. Kama April mosi chaguzi zote tukiwakataa hawa tuliowapa dhamana ya kutuongoza wakashindwa itakuwa ni salamu za nini kinafuata 2015. Na hiyo 2015 tunamaliza kabisa kwa kubadili mwenendo wa Utawala na kuweka utakao jali maslahi yetu.
  Hivi sasa ni sawa na familia inayojilimia shamba kisha baba anauza mazao yote kwa ajili ya nyumba ndogo na ulevi kisha nyie mnakosa chakula,ada ya shule na matibabu. Mnayosababu ya kumkana kuwa amepoteza haki ya kuitwa baba tena na kumtosa kwani hana haki ya kuwatafutia vifo nanyi mnamwangalia tuu. CCM inafanana na huyo baba.
   
 11. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pa1 sana mkuu. najua sikuyaja tena karibuni tu.
   
 12. MANI

  MANI Platinum Member

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Ukweli mtupu Mkuu !
   
 13. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,558
  Likes Received: 1,912
  Trophy Points: 280
  Itafika pahala madini mengi ya Afrika yatakuwa mikononi mwao kuliko yale yaliyomo ardhini, halafu sisi siyo tu kwamba tunabaki na mashimo, bali pia mifuko "iliyotoboka" na umasikini tu.
   
 14. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Mkapa kama kweli alimwua J.K. Nyerere, alusudia kutufukarisha na kutuachia mashimo na vifusi ambavyo kama hukuelezwa utadhani ni kilima cha mawe kama yale ya mwanza, au kokoto tupu kumbe wamechukua madini na kutuachia vifusi vya kufa mtu


  kifus1.jpg


  kifus2.jpg

  kifusi.jpg

  kifusi4.jpg

  kifusi5.jpg

  hii ndo zawadi MKAPA NA KIKWETE WALITUANDALIA WATANZANIA.....

  Hata walioajiriwa kama watalamu migodini walio watanzania, wanalipwa robo ya mshahara wa kaburu japokuwa watanzania ni watalamu zaidi kuliko makaburu
   
Loading...