Mdhamini wa harambee ya CHADEMA usiogope | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdhamini wa harambee ya CHADEMA usiogope

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Mar 23, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Nadhani sote tunataarifa kwamba kuna tangazo linalorushwa na REDIO CLOUDS la kuhamasisha wanachama na wapenzi wa CHADEMA kukichangia chama hicho.


  Taarifa RASMI zinasema Mwaandaaji wa sherehe hizo za kukichangia chama chetu ambaye ni moja ya hoteli moja maarufu jijini Arusha amewaomba viongozi wa CHADEMA waseme kuwa chama ndicho kinabeba gharama zote ila ukweli ni kwamba HOTELI ndiyo inabeba gharama zote. Aidha watu maarufu kama Wafanyabiashara ambao wako nyuma ya CHADEMA kukisaidia nao wameombwa kutotajwa hadharani kwa kuhofia biashara zao kupata matatizo.

  Maoni yangu: Hakuna sababu yoyote ya Mmiliki wa Hoteli hii wala Wafanyabiashara kuogopa kwa sababu wapo Watu wengi wameonesha nia ya kukisadia CHADEMA na mambo yao yanakwenda poa tu, mfano mzuri ni SABODO.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  spinning
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hamna mamlaka Tanzania inaweza ikaziingilia biashara za Sabodo ndugu yangu. Yeye anacheza na stock exchange market za Marekani, mimi niliye na duka kariakoo nikijifanya kuwa huru kuunga mkono Upinzani utaona jinsi TRA watakavyokuwa wafanisi kwenye biashara zangu na haitashangaza kuona nimegundulika nadaiwa kodi nilizozikwepa miaka ya 90, unachezea CCM wewe!!!!!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Habari yako ni nzuri, ila umeharibu hapo kwenye RED!
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Michango kwa CHADEMA imekuwa mingi, hofu yangu ni kwa vipi viongozi wakuu wa Chama hicho wanatumia fedha hizo. Je ni kwa maslahi ya chama kweli? Mara kadhaa nimekuwa nikiliona gari lao moja aina ya vitara rangi nyeusi likiwa katikati ya jiji na vipaza sauti kuwaomba wananchi kuchangia chama. Hata hivyo leo tutakuwa pamoja katika harambee hiyo.
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ni kweli viongozi wakuu wa chama wanatumia fedha hizo kwa ajili ya kampeni
   
 7. M

  Makupa JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Cdm kuna mchwa usiombe
   
 8. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hangaika na CCM yako...achana na CDM.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  hongera kwa hilo,ni hotel gani hiyo?
   
 10. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Spinning master, tangu lini mbunge wa CCM akawa mwanachama wa Chadema.
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Wanachadema tujitokeze na kwa wale watakao shindwa kufika pale Naura tafadhali yuma mchango wango kwenye namba zifutazo....
   
 12. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mwenye Naura Spring Hotel amefanya kosa kubwa sana ambalo atakuja kulijutia katika maisha yake yote. Na tukumbuke huyu mwenye hii hotel anamiliki pia hotel ya Impala na Ngurdoto. Sijui km biashara zake zitaachwa salama na TRA
   
 13. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tutaanzisha kampeni ya kuchangia ccm tuone watanzania wanavyokichukulia chama kilichowalea.
  kwa sasa tuma tigo pesa kwenda 0655736379.

  nawakilisha.
   
 14. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Njia za kuchangia zitajulikana tu, kama mtu akitoa cheque itajulikana, kama ukitoa kwa njia za mtandao itajulika na hata njia ya TISS itajulikana. CCM wana mkono mrefu na wana organs nyingi zakutambua mambo.

   
 15. H

  HlydeDaue Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hofu yangu ni kwa vipi viongozi wakuu wa Chama hicho wanatumia fedha hizo
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Haogopi mtu hapa hata mkitisha vp
  Tutakwenda eneo la tukio, na tutachanga!
  Mbona ccm inachangiwa na hakuna anayebomolewa kibanda?
   
 17. SaidSabke

  SaidSabke JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 1,969
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  mbona chadema mnaogopa tabia ya kuogopa ni ya wahalifu.mwenye busara yeyote hawezi kuchangia vurugu kwa hata yeye hatakuja kuishi kwa amani.
   
 18. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  tatizo ni wafanyabiasha kufanya kazi bila mipango mizuri, ukiwa na rekodi nzuri za biasha hata waje TRA unawatoa nisha tu
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kampeni si ninyakati za uchaguzi tu au?
   
 20. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa mimi mwenyewe kanistua, memba wa cdm hawezi kuongea vitu hivi hadharani. Wanatafuta uhakika wa nani amefadhili hiyo harambee.
   
Loading...