leo nmehudhuria kampen za ccm ktk kata ya mbuguni kwa kweli ccm haina sera bali matusi ambayo matusi hayo yanaongozwa na lusinde na olesendeka.wazee wambuguni wamekasilishwa na matusi...
Kwa jinsi Vincet Nyerere alivyomchezesha kwata la nguvu Mkapa, ninawashauri Chadema kila atakaposogeza mguu kwenye kampeni za uchaguzi Vincent Nyerere ateuliwe na chama kumshikisha adabu...
Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo.
TANZANIA NA CCM TUNAKOELEKEA (Kuna makosa ya kutofumbia macho)
Niliwahi kusema (miongoni mwa post zangu kuhusu uchaguzi wa Arumeru Mashariki) katika mtandao wa jamii wa Face book (FB) kuwa...
Katika uchaguzi mkuu 2010 idadi ya waliopiga kura ilikuwa chini ya nusu kulinganisha idadi ktk daftari, zimefuatia chaguzi ndogo hadithi ni ileile. Wasiwasi wangu ni kuwa si kweli kuwa watu...
Wakuu JF, Inaoneka kuna watu wengi hawajui ukombozi unapatikanaaje, na Lusinde wa sisiEM katika movie yake ya hivi karibuni Arumeru amadhitisha hilo! Kwamba kwa waliozaliwa na wakulima watakuwa...
Wakuu nimekuwa nikifuatilia sababu zinazotolewa juu yakubwagwa kwa CCM huko Arumeru East naziona kama zimejaa propaganda naupotoshaji wa makusudi ambao ni wazi unaonekana umelenga kuuficha ukweli...
Wananchi wa Tanzania wahaitaji juhudi, mikakati, na nguvu kubwa kupata katiba mpya kabla ya 2014. Wapinzani hawezi kushinda uchaguzi wa urais wakati hali tuna katiba ya chama cha kimoja cha...
Unajua nimekuwa nikisikia na kusoma juu ya habari za Lusinde viz a viz matusi aliyokuwa akiyaporomosha ila sikutilia maanani nikiamini kuwa yaweza kuwa maneno ya kisiasa ama ushabiki. Ila nikiri...
Upepo sio Mzuri Mh.Lowassa, inawezekana adui yako hujamsoma vizuri..,sasa ni muda wa kutumia silaha zote, hakuna mtu yeyote wa kumuamini sasa! tumia mbinu mbadala za kisiasa la sivyo adui zako...
Mheshimiwa Rais Kikwete, imekuwa kawaida sasa kwa wanachama wa CCM kufanya vurugu kwenye chaguzi ndogo na hata kufanya mauaji. Hali hii haitokei kwa bahati mbaya kwani ni kawaida ya CCM kila...
Rare earth minerals were discovered after the drilling at the Tumbili target, within the Wigu Hill Rare Earth Project located 170 km south-west of Dar es Salaam. Canadian firm, Montero Mining and...
Tumeshuhudia wakati mwingine CCM kutokufanya usawa katika miradi ya maendeleo hasa katika maeneo walipopata kura chache au walipochagua upinzani,mf. madiwani katika jimbo la Chato kwa Magufuli...
Uchaguzi ni vita! Kupata ridhaa ya kuwaongoza/kuwawakilisha watu ni mchakoto mrefu. Hatoshi pekee kuuza sera na kukubalika, haitoshi pekee kupigiwa kura la hasha! Siku mbili nilizokesha na...
Ndugu wana jamii forum naom ba tusaidiane katika swali langu hili labda kwasababu jf ni mtandao makin na wenye wachambuzi makin pia sina hofu tutasaidiana katika hili. Leo hii nazungumzia chuo...
Ndugu zangu wana JF,
Awali ya yote naomba niwapongeze kwa ushindi KIDUCHU mlioupata kule ARUMERU, kiukweli sikupenda CDM iibuke washindi ila nilipenda CCM ishindwe. Ninakiri kuwa kuna tatizo kubwa...