Mzee wangu mheshimiwa sana waziri wa ujenzi ndugu yangu John Pombekali Magufuli (nafahamu huwa haukosi kuchungulia humu jf kila siku) pamoja na wadau wote wa jf, napenda kufahamishwa. HIVI UJENZI...
kuna jimbo ambalo wananchi wake huwa wanapima nani mkweli na nani ni muongo kisha wanampa kura, sio jingine bali ni jimbo la moshi vijijini! kwa jinsi navyoelewa watu wa moshi vijijini chadema...
Jana niliyasikia magamba wawili wakisema Lema atamwagwa kwenye hukumu ya kesho ili akate rufaa halafu wapige dana dana na kesi mpaka miaka mitano iishe kama ni kweli Lema ukimwagwa usikate rufaa...
Kuna taarifa zimenifikia kuwa former IGP Harun G. Mahundi is no more,
Amefia nyumbani kwake Tegeta, usingizini, ilijulikana baada ya kuona mzee hajaamka muda wake wa kawaida ndio dereva akaomba...
Wednesday, 04 April 2012 21:50
0digg
Boniface Meena
KATIBU Mkuu wa CCM, Wilson Mukama amelisifia Gazeti la Mwananchi akisema linaandika habari bora na kuchuja ukweli na uongo.
Mukama alitoa...
Sikutegemea kuwa kashfa ya waziri Adam Malima ingefifia nakujiishia kinamna huku tukipewa visa vya kwenye runinga. Siamini. Kwanininimeamua kukumbushia uchafu huu? Ni kutokana na kashfa ya hivi...
Mwishoni mwa wiki iliyopita Uongozi wa chuo iliwakamata wanafunzi wakiwa kwenye daladala ya ABIRIA pamoja na abiria wengine,wakaamulu gari liludi mpaka jengo kuu la utawala na kuanza kuwasachi...
Mbuge wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA Mhesimiwa John Mnyika ameeleza chazo cha kukosekana mara kwa mara kwa maji ya bomba katika maeneo ya Ubungo hadi Kimara, wakati bomba kuu la maji...
Pongezi kwa Kazi nzuri ya Arumeru, Kirumba, Lizaboni na Kiwira. William Malecela anajitaji kura za CDM awaze kuwa Mbunge wa EA. William ni mwanaCCM Aliye huko kimakosa anaweza simamia taifa...
Ndugu zangu nilikuwa napita kutoka Iringa mjini naelekea wilaya ya Ludewa, Jamani eneo moja la Luponde ambapo pana kiwanda na mashamba ya chai barabara imeharibika sana na magari kibao yamekwama...
Kuna dalili za kutosha kwa wabunge wengi especially ccm kupoteza nafasi zao kama kutakuwa na uchaguzi mdogo tena ama uchaguzi mkuu wa 2015 na hii nikutokana na makosa mengi ambayo ccm imekuwa...
Katibu mkuu wa CCM akiongea na wandishi wahabari leo
Amewauliza? Mnafikiri kila mtu ni Richmond?
Je alikuwa ana maana gani au ni jazba tu?
Hao kina richond ni kina nani?
Tafakari ila...
Siasa za matusi na uongo ambavyo wazee wetu wanataka kuturithisha hatuzitaki kabisa katika nchi hii. Tunajua siasa ni mchezo mchafu waswahili husema hivyo lakini sio michezo hii ya kusema uongo...
GreatThinkers,
Katika hali ambayo inaweza kuwa somo kwa walioko juu, wajiaani kwandae kuondoka.
CUF imeshinda Tanga, CDM ya Pili na CCM ya Tatu.
Je hii ni indicator gani kwa mafisadi?
Ulikuwa ni mkutano wa baadhi ya wabunge mkoa Mwanza wakiwashukuru wananchi kwa kuwapa ridhaa tena ya kuwaongoza, mkutano umeambatana na urudishwaji kadi na zikachomwa moto, Zimerudishwa kadi zaidi...
Kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru zinaelekea kuwachanganya wawekezaji hasa wa biashara ya maua jimboni humo kutokana na vyama vya CCM and Chadema kudai kwenye kampeni zao kuwa kama...