CHADEMA tumuunge mkono W Malecela

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Pongezi kwa Kazi nzuri ya Arumeru, Kirumba, Lizaboni na Kiwira. William Malecela anajitaji kura za CDM awaze kuwa Mbunge wa EA. William ni mwanaCCM Aliye huko kimakosa anaweza simamia taifa kulikouCCM, ni msikivu na pamoja na mapungufu yote alonayo Mimi naona ni bora kuliko hao Tisa wengine nidhamu ya CCM. Sintoshangaa William siku moja akija CDM Chama makini aungane na wengine kuleta mabadiliko ya kweli. Ninaamini hata hoja za CDM baharia atazisimamia

Best wishes Malecela JNR

Rt Rev Masa
 
Rev. vipi umeshakatiwa kitu kidogo kwa ajili ya kupiga debe??? Ni vema CDM tusiendekeze na tusi-support sana mfumo wa kifalme katika nch yetu.

Naona kishakatiwa za RA. ha ha ha ha
Ni utani tu jamani, masa ni naamini huwa yuko huru sana, naona huo uhuru ndo umemsukuma
 
Hongera kwa hoja nzuri, ila tutakaomchagua ni sisi na atatekeleza sera kwa mujibu wa ilani ya chama cha mapinduzi
 
Kupenda ccm yakupasa uwe na akili ya maiti!, huwezi kuwa na akili timamu uwapende hawa wezi wa taifa letu. Miaka 50 maendeleo hakuna, kwanza walimuua Baba wa Taifa. Kwa dhambi hii sitokaa nimpende mtu yoyote ndani ya ccm. Wanapeana vyeo kwa sababu ya kurudisha fadhila ya wazazi! Iko siku MUNGU atasema no!
 
Sioni kama kuna haja ya kumpigia debe huyu maana hakuna tofauti kubwa kati ya huyu na yule aliyeshindwa kule Arumeru.
 
Rev. kweli mkuu naona unachunga kondoo wako waende kwenye njia njema.

Tuambie kura inapigwa je,
na mgao wa huo mshiko uliopewa utatugawia je.
 
Wakuu !

Nimeangalia kwa mapana William yuko kimakosa sana CCM! Pamoja na mapungufu yake wabunge waCDM wamuunge mkono kuliko mCCM mwingine. Mwisho wa siku CDM lazima wachangue MCCM mmoja wapo Kati ya wale 9!

Huwezi honga mchungaji there is no price tag kwangu!

M4C
 
Wakuu !

Nimeangalia kwa mapana William yuko kimakosa sana CCM! Pamoja na mapungufu yake wabunge waCDM wamuunge mkono kuliko mCCM mwingine. Mwisho wa siku CDM lazima wachangue MCCM mmoja wapo Kati ya wale 9!

Huwezi honga mchungaji there is no price tag kwangu!

M4C

mbona umetoa title mkuu! rev!
 
CCM bi CCm tu, hakuna aliye na afadhali.....as longer as your in CCM akili zako lazima ziwe kama za maCCm wengine. period
 
Back
Top Bottom