Barabara ya pamba mjini mwanza.........! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barabara ya pamba mjini mwanza.........!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shagiguku, Apr 5, 2012.

 1. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Mzee wangu mheshimiwa sana waziri wa ujenzi ndugu yangu John Pombekali Magufuli (nafahamu huwa haukosi kuchungulia humu jf kila siku) pamoja na wadau wote wa jf, napenda kufahamishwa. HIVI UJENZI WA KIPANDE CHA BARABARA :closed_2: CHENYE UREFU WA MITA ZIPATAZO 30 HIVI KWA NCHI YETU UNAWEZA KUCHUKUA MUDA WA MIEZI KARIBU 6....??

  nimeuliza hivo kwa sababu, tunaona ujenzi wa kipande cha barabara ya pamba ya mwanza unasuasua na kusababisha kero kubwa ya foleni kwa watumiaji wake.

  lakini siyo hivo tu, kuna kipande kingine cha mita kama 10 hivi cha barabara ya kenyatta (barabara ya kuelekea shinyanga) pale relini inavoonesha ni kuwa pamoja na kwenda madarasa yote ya ujenzi wa barabara lakini mhandisi husika hapo amekwama (yaani elimu yake imeshindwa kumsaidia kuwa mbunifu) kipande hicho kila inyeshapo mvua kinageuka kuwa mahandaki.

  mimi sitaki kusema wahusika wajiuzuru, bali wapime wao wenyewe na kuona uzito wa jukumu walilopewa kisha wafanye uamuzi kwa kuchukua hatua.....!!!!
   
 2. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,158
  Likes Received: 1,246
  Trophy Points: 280
  Hawatathubutu kupima, walishahifadhi pesa mfukoni basi tena.
   
 3. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  unategemea nini kutoka kwa Nyanza Road Works,
   
Loading...