Anne Makinda ni mzigo katika jimbo lake

Hakikwanza

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
4,034
1,003
Ndugu zangu nilikuwa napita kutoka Iringa mjini naelekea wilaya ya Ludewa, Jamani eneo moja la Luponde ambapo pana kiwanda na mashamba ya chai barabara imeharibika sana na magari kibao yamekwama hapo. Naomba niku ulize Spika unamawazo yapi kuhusu hii barabara? Hususani hiki kipande kilichopo ndani ya jimbo lako? Ambacho kinasumbua sana? Kila mwananchi ndani ya basi alikuwa analalamika sana dhidi ya muheshimiwa Au mnatimiza ahadi ya kanyaga twende?
 
Hebu tuhorodheshe wabunge wote ambao ni mzido sio tuu kwa wapigakura wao, bali pia kwa taifa na walipa kodi kwa ujumla.
1. Vita Rashidi Kawawa
2. Charles Kapuya (sorry is he stil an MP?)
3......
Please tuendeleze
 
Ndugu zangu nilikuwa napita kutoka Iringa mjini naelekea wilaya ya Ludewa, Jamani eneo moja la Luponde ambapo pana kiwanda na mashamba ya chai barabara imeharibika sana na magari kibao yamekwama hapo. Naomba niku ulize Spika unamawazo yapi kuhusu hii barabara? Hususani hiki kipande kilichopo ndani ya jimbo lako?

Ambacho kinasumbua sana? Kila mwananchi ndani ya basi alikuwa analalamika sana dhidi ya muheshimiwa Au mnatimiza ahadi ya kanyaga twende?

Watu wa Njombe wapuuuzi, wamekuwa wakimchagua makinda kila uchaguzi, wakati wanajua kuwa ni mtu hovyo, hawafanyii chochote katika jimbo hilo.matatizo lukuki.]
 
Watu wa Njombe wapuuuzi, wamekuwa wakimchagua makinda kila uchaguzi, wakati wanajua kuwa ni mtu hovyo, hawafanyii chochote katika jimbo hilo.matatizo lukuki. Njombe badilikeni, chagueni Chadema kwa maendeleo yenu.
 
Na wana Njombe kumbukeni alishasema 2015 will be her last moment ya kuwa kwenye siasa! hivyo sizani kama kwa kutofanya lolote she is going tp loose anything on her side! Watanzania tuamke mifano tumeshapewa!
 
Jimbo la Njombe Kusini kwa anne makinda ndo wanamatatizo kwani tangu 1995 wao wapo tu na bikiroboto. Huyu mama hajafanya lolote hata ktk kijiji alikozaliwa ( Yakobi).
 
Watu wa Njombe wapuuuzi, wamekuwa wakimchagua makinda kila uchaguzi, wakati wanajua kuwa ni mtu hovyo, hawafanyii chochote katika jimbo hilo.matatizo lukuki. Njombe badilikeni, chagueni Chadema kwa maendeleo yenu.

Mkuu, kwanza usiwatukane watu wa Njombe kwa kuwaita wapuuzi. Nafikiri ungetulia na kujua nani anamfanya Makinda ashinde
 
Sio watu wa Njombe tu, vipi wa Tabora majimbo yote wamewapa Magamba na maendeleo hakuna?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom