Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

katibu mkuu CCM: Mnafikiri kila mtu ni RIchmond?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Watu, Apr 5, 2012.

 1. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 2,909
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  Katibu mkuu wa CCM akiongea na wandishi wahabari leo

  Amewauliza? Mnafikiri kila mtu ni Richmond?

  Je alikuwa ana maana gani au ni jazba tu?

  Hao kina richond ni kina nani?

  Tafakari ila usichukue hatua
   
 2. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,736
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Wewe lazima utakuwa mwanga!
  Ameongea na wana habari LEO?
  Ni saa 6 na nusu usiku sasa!
  Tutafakari,tusichukue hatua??
  Kojoa ulale mkuu!
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,222
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Nimemwona anatoka povu huku ameshika Tanzania Daima ,kawehuka na matokeo ya East Meru.
   
 4. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,176
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  labda mtoa mada alikuwa busy mkuu
   
Loading...