Lema ukimwagwa usikate rufaa rudi kwenye uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema ukimwagwa usikate rufaa rudi kwenye uchaguzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joblube, Apr 4, 2012.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jana niliyasikia magamba wawili wakisema Lema atamwagwa kwenye hukumu ya kesho ili akate rufaa halafu wapige dana dana na kesi mpaka miaka mitano iishe kama ni kweli Lema ukimwagwa usikate rufaa rudi kwenye uchaguzi labda wa kuzuiye kugombea.
   
 2. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Hii kesi Lema akishindwa, itakuwa ni aibu kwa judiciary ya Tanzania.
   
 3. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  hemu wataje hao makada kama sio lusinde na majimarefu!makovu ya arumeru yatawasababishia mengine.hawakomi tu!
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,814
  Likes Received: 36,906
  Trophy Points: 280
  majeraha ya uchaguzi wa arumeru yanawafanya CCM kuota ndoto za mchana.
  Mahakama sio choo cha stand.
   
 5. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Hapa watakuwa wanajichimbia kaburi la alfajiri, kwani hakuna mtanzania asiyejua kesi hiyo inaendaje kwa upande wa mshitakiwa na washitaki kesi iko wazi, hivyo wakidangayika yatakayotokea yatakuwa ni mabaya zaidi kwani hata vipofu, viziwi, na bubu, watapiga kelele. Ifike pahala watanzania tukubaliane na matokeo.
   
 6. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  sisi wengine sio wanasheria, lakini kwa mwenendo wa kesi ulivyokuwa, sioni kama hii kesi imekaa vibaya kwa lema- wakilazimisha utakuwa ni kuingusha idara nzima ya mahakana
   
 7. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  nadhani ndicho chanzo cha haya madudu humu, sio mahari pa kumvua lema ubunge, hata kama ni kihiyo wa hiyo sheria


   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  CCM common sense kwao is not common!
  They dont even sense the wind of change blowing over Tz!
  Wanajifanya akina Tomaso!
   
 9. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Lema kesho anaibuka kidedea. Hivi kwanini mnawaendekeza sana ccm katika maisha yenu? Hamuwezi kutumia common sense? Hata kama lema aliwatukana wagombea wenzie kosa hilo ni faini tena haizidi 30,000 kwa tusi moja. Je yale matusi ya lusinde na maji marefu pale arumeru mtasemaje?
   
 10. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tukuandamana oooo tunaharibu mji wa kitalii mbona haohao watalii kwao wanaandamana kila kukicha huko makwao hili la arusha ndo liwe geni kwao,namaana patachimbika arusha kama watachezea haki ya watu wa arusha kwa kufanya maamuzi ya kimangungo,na wote wanaofanya maamuzi mabovu kwa kivuli magamba wajiaandae kukutana na Morino Ocampo soon 2016
   
 11. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Siamini kama wanaweza cheza na moto? Ushaidi wenyewe wakuungaunga Lema tulia tutawashinda tu sisi tuna MUNGU
   
 12. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280

  Hiki kitu hakipo....ile kesi ni rahisi sana
   
 13. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  mnawapa ujiko magamba bure tu....kama ni kula bata kuleni tu..lema hana hatia
   
 14. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwani sheria inamruhusu mlalamikiwa kurudi kwenye uchaguzi tena? Hata hivyo kwa mwenendo wa kesi ulivyokuwa, possibility za kushinda ni kubwa sana
   
 15. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mpango dhalimu wa magamba wakiongozwa na mamvi na jaji wa kesi ya lema ni kumvua ubunge na kumpiga ban kushiriki shughuli za siasa kwa miaka mitano.
  Mytake: Hata kama wakifanikiwa kufanya hila jimbo haliwezi kurudi tena magamba
   
 16. J

  Jacob Joachim Member

  #16
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumzuia kushiriki siasa miaka mitano! Mnara wa uhuru pale Arusha utakuwa ni mnara wa ukombozi wa mtnzania kutoka kwenye serikali dhalimu ya CCM. Tutaandana, watupige, tufe mpaka tuishe kama wakileta hukumu zisizokuwa na utu Arusha.
   
 17. K

  Kachero JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo Jaji atakayetoa hukumu kinyume na taratibu za kimahakama kwa kuzingatia ushahidi ajiandae kuhama Arusha la sivyo kichwa chake kitakuwa halali ya wana Arusha kama akimvua Ubunge mbunge wao kwa hizo njama zinazopangwa.Kwa jinsi ninavyoifahamu Arusha hakika patachimbika hiyo kesho baada ya hukumu.
   
 18. J

  JokaKuu Platinum Member

  #18
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,805
  Likes Received: 5,114
  Trophy Points: 280
  ..asikate rufani??!!

  ..hukumu inaweza kufuta matokeo ya uchaguzi na zaidi kumpa adhabu ya kutoshiriki siasa kwa kipindi fulani.

  ..
   
 19. w

  wa home JF-Expert Member

  #19
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mh Lema ni m2mishi wa MUNGU, umma, kipenzi cha watu, MUNGU atamtetea hatashindwa bali atashinda.
   
 20. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kamanda Lema,hakuna Hakimu ambaye atathubutu kutengua ubunge wako,kama yupo atakuwa na lake jambo pembeni.1.Mlengwa hakufungua kesi
  2.USHAHIDI WALIONAO NI WA KUSEMA ALISEMA.
  Nimemaliza navunja kalamu,Lema endelea kula kuku,wasikusumbue,ingekuwa ruksa yangu wote wangevuliwa nguo hadharanh kisha niwakameruuun
   
Loading...