Mheshimiwa JOHN MNYIKA atoa ufumbuzi wa tatizo la MAJI eneo la KIMARA hadi UBUNGO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mheshimiwa JOHN MNYIKA atoa ufumbuzi wa tatizo la MAJI eneo la KIMARA hadi UBUNGO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaNanii, Mar 25, 2012.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mbuge wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA Mhesimiwa John Mnyika ameeleza chazo cha kukosekana mara kwa mara kwa maji ya bomba katika maeneo ya Ubungo hadi Kimara, wakati bomba kuu la maji linapita maeneo hayo hayo. Mheshimiwa Mnyika amesema chanzo ni uozo wa kiutendaji uliopo katika Mamlaka ya Maji safi na maji taka DAWASCO, eneo la Kimara hadi Ubungo kwa kula njama na wafanyabiashara wa maji wenye malori hivyo kuzuia au kufunga maji katika maeneo hayo ili kuleta uhaba wa maji wa kujitakia na baadae wafanya biashara hao wa maji kuvuna mapesa ya chee kwa kuuza maji kwa bei ya juu sana.


  Tayari baada ya kuligundua hilo Mheshimiwa John Mnyika amefanya juhudi za makusudi zilizopelekea meneja wa DAWASCO anaeshughulikia eneo hilo kutimuliwa kazi. Pia Mheshimiwa Mnyika ameitaka EWURA kudhibiti kikamilifu bei ya maji kwa mtumiaji wa kawaida. Amesema EWURA imeshikia bango bei za mafuta tu na kusahau bei za maji. Ambayo ni huduma ya lazima tena ni ya kila siku kwa kila mwanadamu.
   
 2. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,489
  Likes Received: 2,028
  Trophy Points: 280
  sound tu hizo..tangu mwaka jana anasema tu hivohivo..angejua wakazi wa kimara mwisho tunavopata tabu ya maji..asingekua anatupiga danadana tuu daily..
   
 3. b

  busar JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Muoneeni huruma, Bado kijana mdogo, zitto na mbowe wanaendelea kuwalea, mdee pia, kawe na ubungo mlichagua watoto
   
 4. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wajinga kweli wali wao aisee. Hizi kauli za mnyika nimeanza kuzisikia tangia anapata ubunge, sio mtendaji Bali ni mbwabwatukaji tu. Hana meno, na hili ndilo tatizo lakuchagua wabunge wapinzani wasio na meno, na arumeru wasifanye kosa Kama hili aisee
   
 5. P

  Paparazi Muwazi JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa uchunguzi wangu inaonyesha kikundi cha propaganda za CCM mna hasira sana na Mnyika, wachangiaji wote wengine inaonyesha mmejiunga karibuni JF wakati huu wa uchaguzi wa arumeru, mna post chache. Kazi yetu ni kutaka kuonyesha CHADEMA na wabunge wake hawafanyi kitu.

  GeniusBrain pekee ndio unaonyesha una post nyingi lakini kwa kuandika kwako kuwa uko CHADEMA makao makuu unaonyesha kabisa wewe upo CCM makao makuu.

  Tuliozoea habari za uchunguzi tunasubiri mjibu hoja za muanzishaji wa hii thread-ni ukweli Mnyika amefanya meneja wa DAWASCO Kimara achukuliwe hatua? Ni ukweli kuwa EWURA haisimamii vizuri bei ya maji kama ilivyo kwa upande wa mafuta?

  PM
   
 6. jobe ayoub

  jobe ayoub JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 206
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  acheni uzushi nyie,kwani kazi ya mbunge ni kuweka mabomba!?
  watendaji wa ccm wanafanya nini hadi wamsubilie mbunge?
  kuna mkuu wa wilaya,mkoa,mkurugenzi,waziri,MP na kikwete,
  Hawalijui hilo???
  miaka 50,ccm imekaa tu ubungo,mbona haijaweka hayo maji?
  tatizo vinywa vyenu vimejaa umbea na harufu za ufisadi tu.
  kazi zenu kula hela za walala hoi kisha kusubilia kumhukumu
  mbunge aliekaa miaka 2 tu wakati nyie 50 mmechemsha.
  BIGUP MNYIKA,kaza buti.tupo pamoja
  pipoooooooozzzzzzzzz!!!!!!!!
   
 7. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mnyika usiwe mwoga wanaofanya biashara ya maji unawajua TENA ni wanachama wa CDM; leo unawasingizia DAWASCO kuwa wanashirikiana nao!!! Huo ni uzushi; kuwa mkweli na UTHUBUTU wa kuwakanya akina Mangi kuvuruga miundo mbinu ya maji ili wauze maji
   
 8. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Acha mapenzi kwa Mnyika na ukumbuke ahadi zake; ALITUAHIDI pale Bonyoko kuwa atatumia siku 100 za kwanza za Ubunge kuhakikisha MAJI SAFI na SALAMA yanapatikana, pia tatizo la maji jimboni Ubungo litakuwa ni historia. Leo hii anakuja na visingizio kibao
   
 9. S

  Serayamajimbo Senior Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 15, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonyesha wewe sio mkazi wa Jimbo la Ubungo, hakuna mahali panapoitwa Bonyoko. Wazushi wa CCM mko wengi humu.

  serayamajimbo
   
 10. S

  Serayamajimbo Senior Member

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 15, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo waliouza maji miaka 50 ya uhuru walikuwa ni wanaCCM wenzenu? Acheni uzushi, mbunge kazi yake ni uwakilishi. Mnyika ametimiza wajibu wake, hata wana JF wengine humu tumepata kulijua kwa undani jimbo la Ubungo kupitia taarifa zake za mara kwa mara
   
 11. M

  Makupa JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Babu yako keenja alifanya nini
   
 12. m

  mzizi dawa Senior Member

  #12
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we chizi nini unafikiri anapesa mfukoni yakukulea maji,niwajibu wa serekali yeye nimsimamizitu,na jitiada anazo fanya zipo wazi so sijui unataka ufanyiwe nini.
   
 13. m

  mzizi dawa Senior Member

  #13
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we nimiongoni mwamachizi,we niwamwisho.
   
 14. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Sie huku wa Isoka C Iringa tushayazoea hayo wala hatuhitaji ufafanuzi,IRUWASA Wanakumbuka kudai bili tu tena wamekuwa NUNGUNUNGU hawaguswi
   
 15. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni ahadi, usiahidi vitu ambavyo huwezi kutekeleza! Swala la maji ni kubwa kuliko mbunbe kiukweli.
   
 16. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  heko mnyika kwa kuwa karibu na wananchi wako...achana na watu ambao hawaishi ubungo,sisi tunaoishi ubungo tunaona jitihada zako
   
 17. jobe ayoub

  jobe ayoub JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 206
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  acha uzushi,kikwete ka-ahidi vingapi,toka 2005,kafanya nini? ahadi,matusi,kejeli mmejaza nyie magamba.miaka 50 mmejaza mafisadi tu na matusi ndio zenu sera..
  simama kwenye ukweli..ccm imefanya nini ubungo.
  Kila siku mnajigamba hata akichaguliwa upinzani sera ni zenu zinazotumika,iwe umkomalie bango mnyika.!
  ACHENI KUTAPATAPA........
   
 18. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kama kungekuwa na kura ya kumuondoa mbunge huyu mtoto tungemuondoa, sound nyingi vitendo hakuna, siku hizi alhamdulillah ametengenezd shavu. miaka 5 ikiisha anipishe na mimi nitengeneze shavu.
   
 19. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Really? Maji Ubungo, Kimara, Mbezi yanauzwa elfu tatu, elfu tano, kwa tanki la cubic meter moja, lita elfu moja za ujazo. Upo hapo?

  Sasa, unless unafanya mradi wa kusafisha magari au unazalisha mpunga, lita elfu tano kwa familia ya kawaida yanatosha kwa wiki mbili, tena unayapata on demand, yanakuwa delivered bure, yametoka kwenye bomba, kwa hiyo sio machafu yenye chumvi za visima, hakuna ku deal na bill za uongo za DAWASCO, na most of all, more than anything, is reliable!

  Mnyika kusema DAWASCO wana collude na wafanyabiashara huwezi kuhitimisha really "katoa ufumbuzi."
   
 20. H

  Habarindiyohiyo JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 263
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu Mnyika amezidi uchochezi, ndio maana DAWASA wakamlakamikia. Haiwezekani ukawa mbunge halafu kwenye wiki ya maadhimisho ya maji badala ya kuungana na viongozi wa serikali yeye anafanya uchochezi: JOHN MNYIKA: WIKI YA MADAI YA MAJI
   
Loading...