Ccm tumeishiwa sera jamani tunaomba huruma yenu wananchi

huruma yetu ni kuwafuta kibarua khalafu mtajipanga upy kwa kuachana na siasa za kulindana na kupendeleana.......
 
CCm tumezidi kulinda majizi kwa kuyajengea hoja zisizosomeka,Akilini mwa watu, ngoja tutandikwe fimbo za tumboni. Ndipo tutakapo kumbuka shuka asubuhi.
 
Hawa jamaa wa ccm hawataki kwenda shule maana siasa wamezigeuza mtaji na hasa hilo ndio tatizo kubwa.
 
Kama CCM mmeishiwa sera, pendekezeni kwa uongozi wenu mhamie CDM. Hawa wanabubujika sera na ni wabunifu kibao.

CDM watahitaji baadhi yenu mjiunge nao ili wachukue dola 2015. Watakaojiunga nao mapema wanaweza kuukwaa uongozi enzi yao ikiwadia. 'Ukikaa na waridi, hatimae unanukia'!!!!!!!
 
Back
Top Bottom