Mpigania Uhuru
Member
- Dec 5, 2011
- 78
- 93
Nimeipenda sana slogan ya 'piga KURA Linda KURA'
Naomba iwe slogan ya uchaguzi mkuu 2015.
Naomba iwe slogan ya uchaguzi mkuu 2015.
arusha tunaweza,meru tukawalindia kikaeleweka sasa tunakuja kuafundisha wa mikoani
njoo utuelekeze watu wa Segerea maana uchaguzi umenukia.arusha tunaweza,meru tukawalindia kikaeleweka sasa tunakuja kuafundisha wa mikoani