kufuru ya Chadema Kirumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kufuru ya Chadema Kirumba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Eraldius, Apr 4, 2012.

 1. Eraldius

  Eraldius JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Ulikuwa ni mkutano wa baadhi ya wabunge mkoa Mwanza wakiwashukuru wananchi kwa kuwapa ridhaa tena ya kuwaongoza, mkutano umeambatana na urudishwaji kadi na zikachomwa moto DSCN3236.JPG , Zimerudishwa kadi zaidi ya 90 za CCM na za CUF.Watu walikuwa wengi tizama hizi picha k

  Nawasilisha. DSCN3245.JPG
   
 2. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Kufuru?
  Kufuru ni namna ya dhambi!
  Unaposha umma hapo hakuna kufuru yoyote!
   
 3. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Hawajazungumzia abt wabunge waliojeruhiwa?
   
 4. N

  Negongo Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 25
  Hiyo ni kufuru kubwa,kwani hata magamba hawajawahi kufanya hivyo,na bado zitachomwa sana.
   
 5. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wabunge gani wa chama gani?
   
 6. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  lini hiyo?
   
 7. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Matumizi ya kiswahili cha kisasa hayo, lakini kila kitu hapo kipo wazi. Nadhani alikusudia kufunika mbaya kabisa.
   
 8. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Hao unaosema Watu wengi wako wapi? au kamera iliisha betri watu wakafutika na kubaki wachache?

  Naona magari ndio yalikuwa mengi!!!!!!!!!!!
   
 9. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Mama porojo,mbona huishi kukaa uchi? Utakuwa Hawa Nghumbi wewe
   
 10. Vijijini Lawama

  Vijijini Lawama JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kweli kama alivyosema mkuu hapo juu, hata mm jana nilishudia kipindi nafika mwanza, nilikuta watu kibao maeneo ya kuanzia Nera kuelekea mwaloni kwenye muda saa tisa hivi.
   
Loading...