Wtanzania mabingwa wa kusahau, nani anakumbuka kashfa ya Cassanova Adam Malima? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wtanzania mabingwa wa kusahau, nani anakumbuka kashfa ya Cassanova Adam Malima?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Apr 5, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sikutegemea kuwa kashfa ya waziri Adam Malima ingefifia nakujiishia kinamna huku tukipewa visa vya kwenye runinga. Siamini. Kwanininimeamua kukumbushia uchafu huu? Ni kutokana na kashfa ya hivi karibuni yambunge wa Mtera CCM, Livingstone Lusinde aka Chizi aka Kichaa aka Mzee Mitusiya nguoni aka Kibajaji cha Matusi alivyoporomosha mitusi. Utashangaa kufa palewapiga kura wa Mtera wakimchagua ngwe ya pili hata ya tatu. Nani mara hiikasahau wapayukaji kama Ditopile Mzuzuri, pamoja na uhovyo wao walivyokuwawakipeta? Usishangae kusikia kesho Lusinde akipewa unaibu waziri au uwaziri.Kama akina William Ngeleja, Stephen Wassira, Adam Malima,William Lukuvi,Emanuel Nchimbi, Makongoro Mahanga na wababaishaji wengine wamepewa atashindwanini Mzee wa Mitusi ya nguoni? Kweli watanzania ni wasahaulifu hakuna duniani.
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sasa wewe unataka afanywe nini?

   
 3. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Umma ushinikize aondolewe kwenye ofisi zake. Huo uwaziri si urithi toka kwa baba yake bali nani bali ofisi ya umma. Amefulia lazima aanikwe na kupigwa pasi au siyo?
   
 4. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Tukio limetokea wakat fikra za weng zilikuwa arumeru.
   
 5. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Shida Tanzania kila kukicha kinatokea kituko kikubwa kuliko cha jana!
   
 6. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Zero content, hoja dhaifu sana hii. The events are true but u have failed to substantiate them
   
Loading...