Siasa za matusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa za matusi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kekukeku, Apr 5, 2012.

 1. k

  kekukeku Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siasa za matusi na uongo ambavyo wazee wetu wanataka kuturithisha hatuzitaki kabisa katika nchi hii. Tunajua siasa ni mchezo mchafu waswahili husema hivyo lakini sio michezo hii ya kusema uongo halafu mtu mzima anaanza kuomba radhi ni aibu kwa chama na wanachama wake.:heh:
   
Loading...