Nawashauri Chadema waje wafanye operesheni okoa Tabora, mkoa huu unahitaji elimu sana ya uraia, Magamba yamejikita sana Tabora wakati maendeleo ni duni sana. Nawaomba viongozi wa operesheni za...
je ni kweli kuwa ujio wa ghafla wa NAPE arusha jana kabla ya hukumu una uhusiano na maamuzi ya leo ya mahakama kumuengua LEMA ubunge au ni coinsidence tu vitu viwili kugongana kwa bahati mbaya...
Nimeisoma kwa umakini makala ya Samson Mwigamba kwenye gazeti la Tanzania Daima la Jumatano Aprili 04, yenye Kichwa cha Habari Ushindi wa Arumeru Mithili ya Operesheni ya Kijeshi imenisikitisha...
Wapenzi wana JF nimesikia habari za mbunge G.Lema kunyanganywa ubunge wakwe na Mahakama ya Arusha. Niliposikia habari hizi kwanza niliduwaa!! Pili yalifuata maswali mengi sana kichwani
1. Nini...
Mimi nang'atuka lakini nitaendelea kuamini kuwa bila CCM mathubuti nchi itayumba" Kauli ya Mwalimu J.k.Nyerere aliitoa Mwaka 1990 mjini Dodoma.Hata hivyo pamoja na yote haya ina maana CCM...
Kwanza niipongeze CCM kwa uzalendo na ukomavu katika Demokrasia sina shaka hii inatokana na kushiriki chaguzi nyingi kidemokrasia...Naipongeza CCM kwasababu imekubali kushindwa kwenye Uchaguzi...
Idadi ndogo ya watu kujitokeza kupiga kura!
kadiri ya siku zinavyo zidi kwenda swala hili limeanza kusahaulika na pengine kuonekana lilikuwa la kawaida, lkn madhara yake ni makubwa, ktk ka...
Jamani nimzimu gani umewaingilia hawa jamaa wamelazimishia mpaka lema kavuliwa ubunge, sasa kinachofuata ni vita mji wa arusha kwani bado tuna kumbukumbu za vifo vilivyojitokeza uchaguzi mkuu na...
Kwa mujibu wa ushaidi na maelezo uliotolewa na upande wa mashtaka dhidi ya G Lema ninaamini kama judge atasimamia haki na sheria bila kuweka unazi basi Lema aka Jembe anashinda kesi hiyo
HAKUNA ubishi, ajira ni tatizo kubwa nchini. Tena, vijana ndio waathirika wakubwa wa tatizo hili. Wapo wasiokubali hili, wao wanawaangalia vijana kama ndio tatizo.
Edward Lowassa...
Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya hapa Arusha,Nimegundua kuwa wakazi wengi wa eneo la Boondeni hawaipendi CHADEMA,pale ni ngome ya CCM sasa sielewi nini CHADEMA imewafanya au CCM imewafanyia...
kwa makamanda walio kuwa Arusha sisi huku mokoani moja haikai mbili haionekani ... please tunaomba mtupe update kuhusu hukumu kesi ya kamanda wa ukweli lema.
1 vipi mpaka mda huu arusha hali...
Mojawapo ya vyama vikubwa hapa nchini juzi kilifanya kikao chake nyeti na kutoa tamko la kuchangisha pesa kutoka kwa wale wanaokiunga mkono kwa ajili maandalizi ya chaguzi ndogo mkoani Kagera...
- Wakuu JF, heshima mbele sana ndugu zangu leo kwa mara nyingine tena tumepita kuelekea mwisho wa Safari ya mbio zetu za Ubunge wa EAC, we are almost there jamani bado kidogo sana, twende kwa...
Nyehunge Sengerema mkoani Mwanza wametia fora kwa kumchagua mwenyekiti wa kijiji kwa kusimama mstari nyuma ya mgombea ili kuogopa kura zao kuchakachuliwa, Walipoambiwa na msimamizi wa uchaguzi...
Written by Stonetown (Kiongozi) // 04/04/2012 // Habari // 3 Comments
Na Ally Saleh
Labda leo makala hii ivunje ukimya juu ya hali ya kisiasa inayoendelea hivi sasa hapa Zanzibar, maana...