Hivi ni mzimu gani umeingilia ccm?

Sep 12, 2011
14
3
Jamani nimzimu gani umewaingilia hawa jamaa wamelazimishia mpaka lema kavuliwa ubunge, sasa kinachofuata ni vita mji wa arusha kwani bado tuna kumbukumbu za vifo vilivyojitokeza uchaguzi mkuu na tunatarajia uchaguzi mdogo wa Arusha mambo yatakuwa yaleyale kwani CCM sasa walivyo na roho ngumu ya kutokubali matokeo watalazimishia Ushindi hiwe isiwe watataka washinde wao na hapo ndo Misri na Libya itarudi Bongo

Chadema tujipange kwa hilo

Nimeumia saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom