hukumu kesi ya lema

Status
Not open for further replies.

Mfuatiliaji

Senior Member
Jun 5, 2008
153
33
kwa makamanda walio kuwa Arusha sisi huku mokoani moja haikai mbili haionekani ... please tunaomba mtupe update kuhusu hukumu kesi ya kamanda wa ukweli lema.

1 vipi mpaka mda huu arusha hali ikoje kwa ujumla usalama umeimarishwa zaidi?
2. mahakamani hali ikoje makamanda wapo wa kutosha ?
3 mengine yote yanafaa kuelezwa kuhusiana na hii kesi ?
 
Mi nilifikiri upo Arusha. Ni vyema mtu aliopo huko aanzishe uzi wa kutujuza. Any way sio mbaya na wewe uongeze idadi ya post.
 
Sasa hivi kuna kamvua kalianza usiku ila kutokana na joto la wananchi hapa A town watu wamekaa kusikilizia na watu wamejiandaa kupiga kambi mahakamani ili kujua hatma ya mbunge wao.
 
Niko hapa maeneo ya Naaz Hotel Arusha karibu na Clock Tower naona kila muda wa dakika 10 Landrover zinapita zikiwa zimesheheni vijana wa Saidi Mwema, na pia nilipata muda wakupita maeneo ya Central Polisi Mkoa naona kuna Paredi jamaa wanafanya mazoezi kwenye Mvua! Nitaendelea kuwapa UpDates!
 
mvua inanyesha lakini vijana wamejipanga kumsindikiza Lema wao mahakamani
"they have money, we have God"
 
Niko mahakamani tunasubiri hukumu itolewe binafsi nitarudi hapa kama tutakua tumetendewa haki vinginevyo najua sitaweza kurudi hapa coz kama sitakua polis nitakua hosptali tumejiandaa vyakutosha kuona mb we2 haonewi

ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa_nipitie hapa kijiweni nikupe kampani mkuu.
 
Niko mahakamani tunasubiri hukumu itolewe binafsi nitarudi hapa kama tutakua tumetendewa haki vinginevyo najua sitaweza kurudi hapa coz kama sitakua polis nitakua hosptali tumejiandaa vyakutosha kuona mb we2 haonewi

Duhh hapa napita tu.
 
kaza buti
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom