Ushindi wa lema leo ni ushidi wa watanzania wapenda maendeleo

Status
Not open for further replies.

Chillipo

Member
Mar 27, 2012
37
6
Kwa mujibu wa ushaidi na maelezo uliotolewa na upande wa mashtaka dhidi ya G Lema ninaamini kama judge atasimamia haki na sheria bila kuweka unazi basi Lema aka Jembe anashinda kesi hiyo
 
kwa bahati mbaya ameshindwa Jimbo la Arusha liko wazi. G. Lema usikate tamaa. tuko pamoja. Naungana na Kauli ya Nassari "Tulianza na Mungu na Tutamaliza na Mungu"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom