LEMA kuvuliwa ubunge na ujio wa ghafla wa NAPE arusha siku moja kabla ya hukumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LEMA kuvuliwa ubunge na ujio wa ghafla wa NAPE arusha siku moja kabla ya hukumu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bilionea Asigwa, Apr 5, 2012.

 1. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,844
  Trophy Points: 280
  je ni kweli kuwa ujio wa ghafla wa NAPE arusha jana kabla ya hukumu una uhusiano na maamuzi ya leo ya mahakama kumuengua LEMA ubunge au ni coinsidence tu vitu viwili kugongana kwa bahati mbaya

  hii inatokana na tetesi kuwa nape alikuja kufikisha ujumbe kutoka kwa MKUU WA KAYA juu ya kile kilichoendelea leo mjengoni...

  au tuseme tu alikuja kusikiliza maamuzi ya mahakama kama watu woote walivyokuja hasa ukizingatia kuwa ni kiongozi wa magamba... na sijajua kama mahakamani alikuepo au laaa..
  hebu leteni maoni yenu hapa


  NB

  je ungependa kutengeneza pesa online wakati ukiwa unaperuzi internet?? ni bure na rahisi mno

  bofya hapa

  http://signup.wazzub.info/?lrRef=d56aa5e9

  halafu fuata maelekezo mpaka mwisho na kumbuka kutembelea email yako kila wakati kupata updates

   
Loading...