Nyehunge Sengerema wapiga kura kwa kusimama nyuma ya wagombea.

Vijijini Lawama

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
298
73
Nyehunge Sengerema mkoani Mwanza wametia fora kwa kumchagua mwenyekiti wa kijiji kwa kusimama mstari nyuma ya mgombea ili kuogopa kura zao kuchakachuliwa, Walipoambiwa na msimamizi wa uchaguzi kutuumia utaratibu wa ballot waligoma na kumwambia hawako tayari kuona kura zao zinaibiwa na kama hataki utaratibu wanaotaka wenyewe basi hawako tayari kupiga kura. Alishinda mgombea wa CDM.
 
That is pure and direct democracy by which the ancient Greeks used to obtain leaders.I like it.
 
This is good. Hii ndo inafaa kuwaondoa CCM. Hakuna kuoneana aibu. I like it
 
well i don't support that outdated KANU way of voting since has many disadvantages esp. if a party that run the Govt wants to crack down on those who voted against it's candicates
 
Naona haina shida hii. Kama kwa babu wa Loliondo watu walipanga foleni na wote wakapiga kikombe
 
well i don't support that outdated KANU way of voting since has many disadvantages esp. if a party that run the Govt wants to crack down on those who voted against it's candicates

mjomba, it is time to stand up and be counted waoga utawajua tu.
 
Hii inaweza kusababisha maafa! Huchelewi kuona mke wako yupo mstari mwengine! Lazima upandishe presha!!
 
Ukiona hivyo, ujue watu wamechoshwa na hizi abracadabra. Sasa wameamua bora wajitoe muhanga. Sometimes democracy is expensive than what you think.
 
Hii ndo itawafanya watambue kwamba watu wamechoka hasa pale utakapomwona mke wako, mkamwana wako mstari wa mpinzani wako! Imenikumbusha habari ya mzee Lugiana pale Shy kwenye kituo chake na familiya yake ya watoto zaidi ya 6 na mke wake aliambulia kura 1. Mzee aliwaka huyo!? CCM Kwishney!
 
Naona watu wameanza kuamka sasa,kama mpaka nyehunge watu wamekuwa majasiri namna hiyo,
inaleta sana.
 
wanasimamaje nyuma ya mgombea? Na wanafanya nini wakishasimama hapo?

mfano wewe ndiye mgombea....ssi wapiga kura hatupig kura na kuweka kwenye kisanduku bali wewe mgombea unasimama mbele na wale wote wanaokupenda wanasimama nyuma yako..halafu inahesabiwa idadi ya wale waliosimama kwako wakiwa wengi kuzidi yule mwingine basi wewe mshindi....umeeelewa
 
safi huo utaratibu maana hata mwaka huu ccm wamekosa wagombea ktk vijiji!hakuna future ndani ya ccm
 
Hii inaweza kusababisha maafa! Huchelewi kuona mke wako yupo mstari mwengine! Lazima upandishe presha!!
Kwani mkeo hana vionjo vyake! Mbona Dr. Slaa alikuwa CDM mkewe Rose alikuwa CCM! Demkrasia ni kila mtu kuwa huru kuchangua kiongozi ampendaye si kuchaguliwa na mume au mke!
 
mfano wewe ndiye mgombea....ssi wapiga kura hatupig kura na kuweka kwenye kisanduku bali wewe mgombea unasimama mbele na wale wote wanaokupenda wanasimama nyuma yako..halafu inahesabiwa idadi ya wale waliosimama kwako wakiwa wengi kuzidi yule mwingine basi wewe mshindi....umeeelewa

nimekupata ndugu. Ni njia nzuri ila ina ukomo kutokaka na idadi ya wapiga kura na aina ya uchaguzi. Mwisho wa siku bb ballot box ndio suluhu
 
Nyehunge Sengerema mkoani Mwanza wametia fora kwa kumchagua mwenyekiti wa kijiji kwa kusimama mstari nyuma ya mgombea ili kuogopa kura zao kuchakachuliwa, Walipoambiwa na msimamizi wa uchaguzi kutuumia utaratibu wa ballot waligoma na kumwambia hawako tayari kuona kura zao zinaibiwa na kama hataki utaratibu wanaotaka wenyewe basi hawako tayari kupiga kura. Alishinda mgombea wa CDM.

UMMA WENYE NGUVU, hupanga na kutekeleza wanachokiamini hata kama kitaonekana kinyume na taratibu za siasa za dunia hii inayomilikiwa na mafsadi; HONGERENI SANA
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom