Je ni mkono wa el? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni mkono wa el?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mageuzi1992, Apr 5, 2012.

 1. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wapenzi wana JF nimesikia habari za mbunge G.Lema kunyanganywa ubunge wakwe na Mahakama ya Arusha. Niliposikia habari hizi kwanza niliduwaa!! Pili yalifuata maswali mengi sana kichwani
  1. Nini kilichosababisha?
  2. Je hukumu hiyo ni halali?
  3. Je hakuna mkono wa mtu hapo? (Mathalani EL?)
   
Loading...