Arusha: Kwanini wakazi wa jirani na Msikiti wa Bondeni wengi hawaipendi CHADEMA?

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya hapa Arusha,Nimegundua kuwa wakazi wengi wa eneo la Boondeni hawaipendi CHADEMA,pale ni ngome ya CCM sasa sielewi nini CHADEMA imewafanya au CCM imewafanyia mpaka wawe na mapenzi na imani kwa CCM kiasi hicho.
Nawasilisha Mada.
 
mkuu huoni pale ni mita chache kutoka makao makuu ya ccm mkoa?
Mbona kuna washkaji zangu kibao wanaoipenda cdm wako mitaa ya bondeni wanauza viatu!
 
1. Ni wana ndugu wa viongozi wa CCM kitaifa na kimkoa

2. Wananufaika sana na udhalimu wa CCM
 
Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya hapa Arusha,Nimegundua kuwa wakazi wengi wa eneo la Boondeni hawaipendi CHADEMA,pale ni ngome ya CCM sasa sielewi nini CHADEMA imewafanya au CCM imewafanyia mpaka wawe na mapenzi na imani kwa CCM kiasi hicho.
Nawasilisha Mada.
...ngoja niongeze minofu kidogo kwenye hili panki...HATA MERY CHITANDA PALE OFISI KWAKE HAWAIPENDI KABISA CHADEMA!...
 
Pale ni karibu na makao makuu ya ccm mkoa na kama unavyojua hawa ndugu zetu na ccm ni kama sehemu ya ibada
 
Mkuu watu wote hawawezi kuipenda Chadema Tanzania kuna vyama vingi vya siasa kila Mtanzania ana haki ya kupenda chama hanachokipenda...hata mitume wa mungu walikuwa wanapingwa na watu sembuse Chadema.
 
Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya hapa Arusha,Nimegundua kuwa wakazi wengi wa eneo la Boondeni hawaipendi CHADEMA,pale ni ngome ya CCM sasa sielewi nini CHADEMA imewafanya au CCM imewafanyia mpaka wawe na mapenzi na imani kwa CCM kiasi hicho.
Nawasilisha Mada.
Wanaichukia CHADEMA paoja na Godbless Lema kwasababu alie kuwa mgombea ubunge ng Batrilda Burian aliwaambia chadema ikishinda mtanyang'anywa uwanja uliko pembeni kidogo na msikiti wa ijumaa..hivyo walijenga chuki na Godbless Lema pamoja na chadema lakini maneno hayo Lema alisha yakanusha akiwa kwenye mkutano uliofanyika St.Thomas Hosp akawaambia wawamwambia aliyasema maneno hayo akiwa kwenye kikao/Mkutano gani aka waambia wanacho kifanya CCM ni kuwagawa watanzania ili waendelee kuwatawala...
 
Wana JF,

Hapo nami huwa nashindwa tambua zaidi na ninacho kijua kwanza ni watoto wa uswahilini masharobaroooooo ni watu wa kujishughurisha na biasha za Miraaaaaaa na kupenda kukaa vijiweni bila kazi kwa kiswahili mesheni town.

Kingini Nyumba zao nyingi ni za familia kubwa za kurithi na wengi wao ni wajukuu wana kaa mjini sasa hapo wategemea nini kila kona ya bondeni kati ni mirungi mchana jioni kwneny saloon nyingi utakuta au tax zimepaki utakuta deal zao hazikosi mirungii na serikali yao ya CCM ipo na nyumba zao unakuta zina ma picha ya CCM.

wakazi wa bondeni ikatokea tu wana ipinga CCM basi ujue huko misikitini mwao wamepisha pili wana jua fika serikali itawabana kwa namna yoyote ile na watahamishwa mjini kwa sababu ya shughuri zao za miraaaaaa ilo liko wazi.

Leo hii serikali au Halmashauri ya arusha mjini iwekee ngumu na iakikishe operation kamata Miraaaaaa uone kama hao watu wa bondeni hawajarudi kazi ya ujambazi

Mkuu Ritz,
Toka urudi Meru umekuwa na busara...
Mkuu watu wote hawawezi kuipenda Chadema Tanzania kuna vyama vingi vya siasa kila Mtanzania ana haki ya kupenda chama hanachokipenda...hata mitume wa mungu walikuwa wanapingwa na watu sembuse Chadema.
 
Wanaichukia CHADEMA paoja na Godbless Lema kwasababu alie kuwa mgombea ubunge ng Batrilda Burian aliwaambia chadema ikishinda mtanyang'anywa uwanja uliko pembeni kidogo na msikiti wa ijumaa..hivyo walijenga chuki na Godbless Lema pamoja na chadema lakini maneno hayo Lema alisha yakanusha akiwa kwenye mkutano uliofanyika St.Thomas Hosp akawaambia wawamwambia aliyasema maneno hayo akiwa kwenye kikao/Mkutano gani aka waambia wanacho kifanya CCM ni kuwagawa watanzania ili waendelee kuwatawala...

Mbona unawasemea hizo sababu ulizotoa ni dhaifu sana...wewe si uwa unasema Arusha yote ni Chadema.
 
Kwenye BBC leo asubuhi wamesema AlQaeda imejiimarisha Afrika Magharibi na Afrika Mashariki. Hii ni baada ya kutimuliwa Iraq na Afghanistan. Kule Nigeria wamejipenyeza kwenye kundi la Boko Haram. Hapa Afrika Mashariki wako kama Al Shabab na vikundi vidogo vidogo (sleeper cells)

Sasa huu udini uliopandikizwa TZ, kuna siku utakuja kutumiwa na hawa watu. Chonde chonde wanasiasa, chezea kila kitu lakini siyo dini. Ni bora hata Lusinde, kuliko mwanasiasa anayejaribu kutenganisha watu kwa dini.
 
Mkuu watu wote hawawezi kuipenda Chadema Tanzania kuna vyama vingi vya siasa kila Mtanzania ana haki ya kupenda chama hanachokipenda...hata mitume wa mungu walikuwa wanapingwa na watu sembuse Chadema.

Kaaazi kweli kweli!
Kumfundisha mbwa mzee sheria mpya ni KAZI ngumu sana!
 
Kwanza hakuna utafiti wo wote ulioufanya lakini pili una udini ndiyo sababu unanasabisha upuuzi wako na msikiti!
Kuwa mwangalifu na akili zako mgando!
 
ninachojua mimi kuna wazee wa maeneo yale waliwahi kukiri wazi kuwa ulaji wao kupitia ccm umeondoka baada ya cdm kuchukua jimbo..so wao hawapo kwa maslahi ya kitaifa ila matumbo yao..ni eneo maarufu pia kwa majungu na fitna.. ukitaka kujua kweli kaa nao au subiri msiba utokee kisha uende..
 
Wana JF,

Hapo nami huwa nashindwa tambua zaidi na ninacho kijua kwanza ni watoto wa uswahilini masharobaroooooo ni watu wa kujishughurisha na biasha za Miraaaaaaa na kupenda kukaa vijiweni bila kazi kwa kiswahili mesheni town.

Kingini Nyumba zao nyingi ni za familia kubwa za kurithi na wengi wao ni wajukuu wana kaa mjini sasa hapo wategemea nini kila kona ya bondeni kati ni mirungi mchana jioni kwneny saloon nyingi utakuta au tax zimepaki utakuta deal zao hazikosi mirungii na serikali yao ya CCM ipo na nyumba zao unakuta zina ma picha ya CCM.

wakazi wa bondeni ikatokea tu wana ipinga CCM basi ujue huko misikitini mwao wamepisha pili wana jua fika serikali itawabana kwa namna yoyote ile na watahamishwa mjini kwa sababu ya shughuri zao za miraaaaaa ilo liko wazi.

Leo hii serikali au Halmashauri ya arusha mjini iwekee ngumu na iakikishe operation kamata Miraaaaaa uone kama hao watu wa bondeni hawajarudi kazi ya ujambazi

Naona kila mmoja anakuja na jibu lake kuhusu hao wakazi.

Mkuu, kwa hiyo Chadema hawana shida na watoto wa kiswahili?

Labda nikulize kitu umeishafika Mwanza muulize Wenje kura zake za ubunge kazipata wapi? Nakutajia haya maeneo ya kiswahili Kirumba, Mkuyuni, Igogo, Igoma, Mabatini.
 
Back
Top Bottom