CHADEMA pigeni kambi Tabora

Lavie

Member
Apr 3, 2012
60
15
Nawashauri Chadema waje wafanye operesheni okoa Tabora, mkoa huu unahitaji elimu sana ya uraia, Magamba yamejikita sana Tabora wakati maendeleo ni duni sana. Nawaomba viongozi wa operesheni za Chadema litazameni hili kwa umakini sana mje muwaokoe wanyamwezi. Yani Mkoa wote Magamba-CCM wanajitanua kama virusi vya ukimwi kwenye mwili wa mwanadam. Chukueni hatua tafadhali.
 
Nakubaliana na wewe, kila siku wanyamwezi huwa nawatukana na wenyewe wanalielewa hilo, walichagua bunge eti somali? kwani wanyamwezi wote wameisha? Wameitia najsi inchi yetu nzuri ya Dodoma na bunge tukufu kwa kuliingiza somali, somali lenyewe jizi tena tapeli
 
wakati wanakwenda Tabora, waache timu ndogo Iramba kwa yule mwenye jina la kike Mwigulu.

macinkus
 
sio tabora tu hata shinyanga hasa vijijini yani magamba yamejimilikisha kabisa sehemu hizo na hakuna kabisa maendeleo watu bado wamelala usingizi wa pono.
 
Watu wa Tabora huwa nawashangaa hapa, Tabora ipo duni sana lakini bado wao na magamba damu damu.
 
Kweli kbisa ni lazima makamanda mje huku kwetu tabora kupiga kambi kwani huyu Rage alli shababy na ccm yake wanajiona wamefika,
pia wana tabora wenzangu wa cheo, mwinyi, mihogoni, koleni, ng'ambo etc . Plz tubadilike na tuachane na mawazo mgando ya kuipenda ccm.
 
Nawashauri Chadema waje wafanye operesheni okoa Tabora, mkoa huu unahitaji elimu sana ya uraia, Magamba yamejikita sana Tabora wakati maendeleo ni duni sana. Nawaomba viongozi wa operesheni za Chadema litazameni hili kwa umakini sana mje muwaokoe wanyamwezi. Yani Mkoa wote Magamba-CCM wanajitanua kama virusi vya ukimwi kwenye mwili wa mwanadam. Chukueni hatua tafadhali.

sehemu wanapokaa waswahili, wanyamwezi na watu wa pwani, huwa LUSINDE yuko kazini
 
Dont worry,tunakuja na movement for change

Mkifika pale stand mjini wengine muingie kwenye bus mwelekee Sikonge kwa yule jamaa aliyepelekwa Arumeru eti kuongeza nguvu za Sumari huyu si mwingine bali ni Said Nkumba,jamaa anayeshindwa kukaa na wananchi wake kuwasaidia matatizo yao badala yake wananchi hawa wameachwa wakiwa wasijue la kufanya
 
Laiti wangalijua kupigia kura upinzani ingefanya hata magamba wastuke kuwa wamechoka na ahadi hewa
 
wewe wacha roho ya kwanini ,huyo msomali nibora mara 1000 kuliko wewe kubwa jinga
 
ccm huwa wanatumia umaskini wa watu kuwadanganya, mfano watu wa dodoma, tabora morogoro
nk.
 
Morogoro mjini watu bado wamelala sana, waluguru wanaitaji elimu kidogo, maana walidanganywa na wanaamin wakiwachagua wapinzani damu itamwagika., wanadai wamempata mkomboz abood mwenye pesa nying, wakimfata anawamwagia mapesa tuu. nenden mkawasaidie tafadhali.
 
kuna operation tunaiendesha hapa tabora kuwapiga msasa wananchi,tunawasubiri viongozi wa kitaifa waje hapa tabora wajionee wenyewe.hata hivyo nguvu ya ziada inaitajika ili mavuno yawe mengi.
 
Back
Top Bottom