A self-proclaimed prophet Kangawa Sunny Msiska has been arrested by Malawi Police after he predicted that President Bingu wa Mutharika will die before his term of office expires in 2014.
Msiska...
watanzania tuungane kuwatokomeza viongoz wasio tufaa katka vyanja za uongoz 2kiongozwa na CDM ambapo majmbo yanazid kuchukuliwa na CDM huku mafsad wakbak macho juu
Nimejikuta na chukia sana chaguzi ndogo maana pesa zinatumika sana ila kuna mwisho wake tu haya mambo
naomba watanzania haya mambo ni bora kuyaacha tu kupinga matokeo ili iweje kama uchaguzi ume...
yaani vituko ni ndani ya CCM. Hivi inaingiaje akilini watu kama Le Baharia LeMutuz na Fancy Nkui waende mbele kwele hatua ya mwisho katika EALA wakati Dr. Shayo anatemwa?? Huyu binti ana nini, au...
Baada ya ccm kuzidiwa kila kijiji,leo Naibu Waziri wa Ardhi Ole Medeye,akiwa na gari ya Serikali,alifika Kata ya Mbuguni,akiwa kwenye kikao cha ndani cha kutoa rushwa,ndipo wananchi waliokusanyika...
Chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg Abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa Arusha mjini. anakubalika sana Arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia Arusha maendeleo kipindi cha nyuma . pia...
nauliza endapo sheria ni msumeno yale maporomoko ya matusi mbele ya watoto na kinamama yaliyotemwa na mbunge wa Mtera si kukiuka maadiliya uchaguzi?je anafaa kuendelea kuwa kiongozi wa...
Mwaka 1996 aliyekuwa mbunge wa Temeke, Ramadhani Ali Kihiyo alivuliwa ubunge baada ya Mahakama kumtia hatiani kwa kosa la kughushi cheti na nafasi yake ilichukuliwa na Augustine Mrema, wakati huo...
Nikiwa mmoja ya wadau wa maendeleo wa mkoa wa Kilimanjaro, nimekuwa nafuatilia utendaji wa wabunge waliopo, nilichogundua ni kwamba yale majimbo yalio na wabunge wazee yaani Ndesamburo na...
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka...
Mahakama ya mkoani kigoma imetoa hukumu ya kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyompatia ubunge ndg. Peter Serukamba wa CCM dhidi ya All Khalfan Mleeh wa CHADEMA. Mahakama imetupilia mbali...
Kitendo cha hukumu ya lema kujulikana mapema,napata mashaka kama kweli hii hukumu ilikuwa ya haki.Kitendo cha Lema kupigiwa simu siku moja kabla ya hukumu,kinamaanisha Serikali ya CCM ilisha...
RISALA YA MAPOKEZI YA MH. MBUNGE NA NAIBU WAZIRI WA UJENZI DR. HARRISON GEORGE MWAKYEMBE WILAYANI KYELA TAREHE 30 MWEZI WA 3 MWAKA 2012
Mhe. Mbunge wetu na Naibu waziri wa Ujenzi, Dr...
Wadau heshima mbele,
Nimekuwa nikifuatilia siku za hivi karibuni siasa za kenya, nimegundua kwamba wenzetu hawa bado wana ugonjwa mkubwa wa Ukabila. Inakusudiwa kuwa ifikapo 2015 EA takuwa...
Habari ambazo zimenifikia kutoka kwa mtu wa karibu na Makongoro zinasema kuwa ameamua atagombea Arusha Mjini kama atakosa Afrika Mashariki. Ni kweli jina la baba yake ni kubwa na ndio maana 1995...
Yusuf Makamba
Baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupoteza majimbo 53 ya ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 31, mwaka huu, Katibu Mkuu wake, Yusuf Makamba sasa ameamua kila mgombea...
Viongozi wa CCM mkoani Mwanza wamesikitishwa na lugha ya matusi iliyotumiwa na katibu wa itikadi na uenezi Nape Nnauye alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara juzi jumapili.
Wamedai kwamba hata...