Kwanini Hukumu ya Lema ilijulikama kabla?,tunachezewa vichwa hapa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Hukumu ya Lema ilijulikama kabla?,tunachezewa vichwa hapa.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by yplus, Apr 6, 2012.

 1. y

  yplus Senior Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kitendo cha hukumu ya lema kujulikana mapema,napata mashaka kama kweli hii hukumu ilikuwa ya haki.Kitendo cha Lema kupigiwa simu siku moja kabla ya hukumu,kinamaanisha Serikali ya CCM ilisha jipanga kumvua ubunge Mh G.Lema.
  Kitendo cha Vipira vya Polisi kujihimu na kuweka kambi ofisi za Bunge Arusha pia ni ishara kuwa walisha jipanga kabla.

  Tanzania hii inakwenda wapi
  Serikali ya CCM kwanini inatuchonganisha tuonekane wote ni wana CHADEMA kwenye kudai haki?
  Kwa hali hii kweli wengi tutaendelea kuonekana ni AntGovernent.

  Nawasilisha.
   
 2. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kumbuka pia wale majaji fasta walioteuliwa na JK, kabla ya uchaguzi then pitia background zao ndipo utapata jibu la kesi zote za uchaguzi zilizo mahakamani
   
 3. Emanzi

  Emanzi JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Pole sana ndg
   
 4. t

  tubadilike-sasa JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 677
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Banana republic oyee!
   
Loading...