Taratibu ndo majimbo tunayachukua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taratibu ndo majimbo tunayachukua

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAULA, Apr 6, 2012.

 1. MAULA

  MAULA JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,066
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  watanzania tuungane kuwatokomeza viongoz wasio tufaa katka vyanja za uongoz 2kiongozwa na CDM ambapo majmbo yanazid kuchukuliwa na CDM huku mafsad wakbak macho juu
   
 2. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  We uko dunia gani?.Si tunalia na LEMA wewe unasema majimbo yanazidi kuchukuliwa na lugha yako ya "uso kitabu".
   
 3. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kwanini usikae chini ndugu yangu ukapangilia vizuri unachotaka kukisema kabla hujapost? Au kabla hujabonyeza send post jaribu kurudia kusoma ulichokiandika kwanza. Mbona wengine tunamaliza hata six months bila kupost ila mawazo kama yako tunayachangia kwenye post za wengine zenye maana zaidi, post kama yako hii sio kwamba haina maana ila haijulikani ni nini kusudio lako ulilotaka sie tujue, maana hata kiswahili chake sijakuelewa
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Mkuu,kwa heshima zote kwako na kulinda legacy ya signature na jukwaa hili tukufu naomba kutofautiana nayo kama ifuatavyo:
  SITAKI...NATAKA!
  Sitaki majimbo ya Chadema yachukuliwe na CCM kama hili la Lema!Hii ni kwa sababu kwanza ni gharama kwa wapiga kura na kutupunguzia nguvu bungeni!
  NATAKA kwa majimbo yote ya cdm,kama hili la arusha mjini,yaliyo wekewa pingamizi na aidha CHAMA au MAKADA,na kesi kuchelewa hukumu YA AINA YOYOTE kutolewa!
  Nina sababu zifuatazo:
  a/Kama Kesi cdm tumeshinda,wabunge wetu wataokoa muda na hivyo kutulia kwa kutumikia wananchi wao!
  b/Kama CCM itashinda(huku nikijali kuwa mahakama zetu ni kangaroo) bado faida ni kwa chadema kwa sababu zifuatazo:
  !/Uchaguzi utaitishwa,na itakuwa ni juu yetu ku pruvu kwa dunia kuwa mahkama za tz ni kangaroo!
  !!/Hata tukishindwa uchaguz mdogo,bado tuna advantage kwani ukiondoa nchi nyingne duniani,watz tume prove tayari kuwa mahakama zetu ni kangaroo,hivyo tutasubiri mwaka 2015 na kulirudisha!
  MY TAKE:
  1:Mtoa mada yu sahihi,kwamba cdm tunazidi kuongeza wabunge!
  2:Ukisoma vizuri argument zangu hapo juu utagundua CDM has got nothing to loose kwa LEMA kuvuliwa ubunge,kwan(kwa argument zangu hapo juu) jimbo la arusha mjini litabaki kuwa upande wa cdm!
  3:Kushinda Rufaa kutainufaisha CCM na kuididimiza CDM maana,kes itarefushwa na uki konsida U kangaroo wa mahkama uamuz unaweza kutoka may 2015,cdm mnashnda,halafu mnashtuka kuwa hamjawatumikia wananch!
  4:Ni rahisi kwa wananchi Kupiga kura za huruma sasa kuwapa muda wa kutimiza ahad zenu,kuliko mwaka 2015,huku mmeshnda Rikesi renu rirefu,wananch hawatawaelewa!
  Watapiga kura za hasira dhd ya CHADEMA!
   
Loading...