Nyerere Video: CCM isikokomesha rushwa Watanzania wataenda upinzani!!

Mh Vicent Kiboko Nyerere, alipokuwa arumeru alisema hv, ukikuta basi limeharibika alafu kuna abiria yuko ndani ya basi hilo ujue anamzigo mzito sana kwenye iyo basi, ambayo hawezi kuicha, sasaccm ni basi iliyoharibika sasa watu ambao hawakuwa na mzigo kwenye hiyo basi walibanda basi nyingine ya kisasa CHADEMA
 
Sababu za Watanzania kuanza kuwapenda upinzani ni hizo hapo Nyerere kazisema!.
 
Back
Top Bottom