matusi ya lusinde Arumeru kumvua ubunge? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

matusi ya lusinde Arumeru kumvua ubunge?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Eyoma, Apr 6, 2012.

 1. E

  Eyoma Senior Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nauliza endapo sheria ni msumeno yale maporomoko ya matusi mbele ya watoto na kinamama yaliyotemwa na mbunge wa Mtera si kukiuka maadiliya uchaguzi?je anafaa kuendelea kuwa kiongozi wa wananchi?wazo langu .hafai kuwa mbunge na jimbo la mtera ni kama liko wazi tukisubiri hatua za kisheria..
   
 2. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  naunga mkono
   
 3. L

  Lyogohya Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Gamba ling'olewe
   
 4. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Labda kesi ikasikiliziwe nchi nyingine lakini hapa na ccm hii hii..hana kesi ya kujibu!
   
 5. K

  KIGIGI Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nasubiri tamko rasmi la viongozi wangu makini kuhusu huyu mporomosha matusi
   
 6. J

  Javi martinez New Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kosa akifanya mwana CDM ila likifanyika na mwana ccm ni haki kabisa,hv kati ya Lema na msh**z* Lusinde nani katukana afu viongozi wa nchi wamekaa kimya kweli tunaongozwa na kichwa-nazi!
   
 7. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu ilifaa hata sasa awe mahakamani kwa mitusi yake,
  Nashangaa hata viongozi wa chama chake wakimtetea!
  Hivi hakuna namna wabunge kule mjengoni wakapendekeza huyu mtu avuliwe ubunge kwa kauli zake?
   
 8. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Fungueni kesi msikae kulalamika tu, kesi ya Lema mtaitumia kama reference
   
 9. N

  Negongo Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 25
  Huyu mbunge asiye na maadili anapaswa avuliwe madaraka,kweli kama tunataka kulinda sheria basi huyu mbunge anapaswa kushtakiwa mara moja.ngoja tusubiri tamko au labda itaundwa tume!
   
 10. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Achaeni kuota mchana kwa mahakama gani mtakayofungua watengue kiti cha magamba?
   
 11. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  boss wake (mkama) ashasema lusinde alikuwa sahihi kuporomosha yale matusi,ndo nchi ilipofika hapo
   
 12. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  hata mi napenda iwe hvyo!
  Lakini Lema alituhumiwa kutukana(japo uthbitisho ni giza tupu) na amevuliwa ubunge!
  BAHATI MBAYA SANA,Hili haliwezekani kwa mbunge LUSINDE(Mhe?????)
  Hii ni kutokana na ukweli kuwa,alipokuwa anatukana,hakuwa anagombea yeye!
  Hapa yafuatayo yanaweza kufanyika:
  1:Kama CCM\SIOI wangekuwa wameshnda,basi kes ingeandaliwa,na hapa Sioi(NAOA??) Angeenguliwa.
  2:Kwa sasa Lusinde anaweza kukamata,na mahakama zetu zingekuwa huru,angefungwa jela kwa miaka isiyozidi mitatu na usio pungua mmoja.
  3:(Na hili ni pendekezo langu)
  Kwa kuwa watanzania ni wakarimu na tunapenda kumsaidia mtu mwenye matatizo,basi tumsaidie Lusinde,maana hajui alitendalo!
  Wengine wamejaribu kumsaidia kwa kumlaumu!
  Wengine wamemsaidia kwa kumtukana!
  Lakini Clauds Fm walifunika,maana walimwita ili wamwonye,na aombe msamaha,bali aliishia kuwatukana.
  Mytake:
  Lusinde ni mgonjwa.
  Nilikuwa sina hakika na ugonjwa wake,Lakini clauds fm walipo mwita na akatukana,nilimsamehe bure na kwa sasa nashauri AKAMATWE HARAKA,AFUNGWE MINYORORO SITA NA KUWAHSHWA MILEMBE.
   
 13. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,743
  Likes Received: 6,018
  Trophy Points: 280

  Aaa wapi? Hoja ya msingi itakuwa: Ni vipi matusi ya Lusinde huko Arumeru yaliathiri matokeo ya Ubunge Mtera?

  Hiyo ndiyo sheria mazee, lakini msitegemee kwa kigezo cha matusi ya Arumeru avuliwe ubunge wa Mtera. Issue ya Lema ilikuwa kwamba "matusi yake yaliathiri matokeo ya ubunge" kama ambavyo Mahakama imeridhika na kuhukumu.
   
 14. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Mkuu!!
  Du!!
  Kimsingi na wewe umemtukana Lusinde na unastahli kushtakiwa!
  Lakini LUSINDE akija kulalama hapa,utamwambia,"ONA,anazidi kupandwa na kichaa hapa,mwahshen hosp!"
  wakimkamata na kumpeleka hosp,majibu ndio yataditamaini argument yangu ya wewe kutukana!
  Mimi siwezi kumkamata Lusinde kuthbitisha tuhuma zangu kwako!
  AAARGHHH!!
  Kwenda zako,u great thinker ukizd matatizo matupu!
  RESPECT,Though...
   
 15. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  kwani lusinde alikuwa anagombea arumeru!
   
Loading...