Mahakama mkoani kigoma yatoa hukumu ushindi wa PETER SERUKAMBA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama mkoani kigoma yatoa hukumu ushindi wa PETER SERUKAMBA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wa kusoma, Apr 6, 2012.

 1. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,321
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Mahakama ya mkoani kigoma imetoa hukumu ya kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyompatia ubunge ndg. Peter Serukamba wa CCM dhidi ya All Khalfan Mleeh wa CHADEMA. Mahakama imetupilia mbali ombi la mgombea wa cdm na kusema hana vielelezo vya kutosha kumvua ubunge mh. Serukamba kijana mtiifu kwa Lowasa.

  Tayari magari ya washawasha na askari wenye mabomu ya machozi na silaha za kivita wanarandaranda mtaani ili kuzima vuguvugu la watu wanaotaka kuandamana.

  Source: niko kigoma kikazi.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkuu leo mahakama inafanya kazi?mbona sielewi?
   
 3. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mhmh, kama ni kweli basi huu utakuwa ni mwaka wa aibu sana kwa uhuru wa Mahakama. Sidhani kama kuna mtu atakayebakia kuwa na imani na hizi mahakamasisiemu. Kama Mahanga naye atashinda sitakuja kwenda mahakamani hadi hapo ccm itakapokufa. Mungu saidia ccm ife 2015 ili watanzania hawa wapate sehemu yenye kutoa haki
   
 4. e

  edicom Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  Leo ijumaa kuu
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  We call Democratic Republic of Tanzania
   
 6. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kama kwa mazingira ya kesi ya lema amevuliwa ubunge unaona ugumu gani kwa mahakamasisiem kumpa ushindi serukamba?
  unaona ugumu gani kwa mahakaa sisisem kumpa ushindi mahanga.
  ishu ni kua kwa sasa ndo sisiem wanakata roho, kwa hiyo ni kama wapo frustrated, hata aibu hawaoini tena, hata
  akili zao katika kufocus zishakua butu sana. manake kwa mtu mwenye akili kesi ya lema angeshinda ingeweka mazingira mazuri ya mahanga na serukamba kushinda bila maswali mengi hata kaa walistahii kushindwa.
  lakin wao hawaoni kua kutomtendea lema haki knazidi kuwafungua wengi macho.
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,874
  Trophy Points: 280
  CCM wana jaji duniani, CDM tuna jaji mbinguni.
  Tolerance gives power.
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  atakwambia mahakama haina dini
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  au mahakama ilikutana kwa dharura?!
   
 10. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hakika CCM ni wasanii sana wacha waendelee na usanii wao kama comedy vile lakini kutahamaki 2015 hiyo ndiyo unakuwa mwisho wao.
   
 11. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Unashangaa kufanya kazi leo?? Mahakama iliwahi kufanya kazi hadi usiku wa manane kuzuia mgomo wa walimu, tena kwa kumulika na karabai. Yaani Kikwete ataingia katika historia ya uongozi mbovu duniani
   
 12. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iko kazi mahakama za ccm.
   
 13. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,216
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mi nipo Kigoma tena baada ya kupata hii habari nimezungukia maeneo ya mahakamani na mwanga sokoni na ila sijasikia kitu kama hicho, hata hao askari sijawaona.
   
 14. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  endeleaga kusoma wa kusoma.:heh:
   
 15. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa mahakama za tanzania tusitegemeee hata siku moja CDM kupata ushindi, labda kwa majaji walio watiifu kwa kazi zao. lakini majaji wengi ni vibaraka wa magamba. unategemea serukamba kijana mtiifu kwa lowasa avuliwe ubunge?
   
 16. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mkuu,leo ijumaa kuu nani? Aliendesha kesi
   
 17. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  mbaya zaidi majaji wao wakifa wote wanatamani kwenda mbingu ya chadema ainakuwa toolate na dhambi zao za duniani so wanaishia kula duniani tu chadema wanakula maisha milele duniani na mbinguni
   
 18. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Wao watatumia polisi, mahakama, jeshi na fedha lakini wananchi tutatumia sanduku la kura kuiangamiza CCM 2015. Kuna kila dalili kuwa wananchi wamechoka na ccm haikubaliki, tushirikiane kuitokomeza
   
 19. M

  MAPIKIPIKI Member

  #19
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamani leo kwani mahakama ziko wazi au kwaajili ya magamba haina tatizo?
   
 20. mkombengwa

  mkombengwa JF-Expert Member

  #20
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 809
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 80
  thanx..we believe in allah!
   
Loading...