Chaguzi ndogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chaguzi ndogo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SICHONE, Apr 6, 2012.

 1. SICHONE

  SICHONE Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimejikuta na chukia sana chaguzi ndogo maana pesa zinatumika sana ila kuna mwisho wake tu haya mambo
  naomba watanzania haya mambo ni bora kuyaacha tu kupinga matokeo ili iweje kama uchaguzi ume kushinda bora nenda kalime.
  Haya na tunangoja na mnyika sasa
   
Loading...