Nassari sawa, Lema hapana!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nassari sawa, Lema hapana!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by adil_abdallah, Apr 5, 2012.

 1. adil_abdallah

  adil_abdallah Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kama wewe ni mpiga kura, huo ni uamuzi wako!
   
 3. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwa mtazamo wako yule kichaa lusinde ndie ana hadhi eh!!!!
   
 4. b

  baveta New Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sifa gani unataka wewe
   
 5. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ulimchagulia babako mke! kama la iweje utuchakulie kiongozi wetu we Fisadi??? Any way kukujibu kiaina ni hivi " wekeni mgombea sisi tutaweka jiwe! halafu twende kwenye majumuisho lazima jiwe lishinde kwa jinsi tulivyowachoka" Gamba wewe.
   
 6. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mbona ya Lusinde husemi!?? Mbona humsemi Wassira anaye lala bungeni?? elimu zao za ku unga unga na degree za kikuda mbona huwasemi viongozi wanaofoji vyeti??
   
 7. babakoku

  babakoku New Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama unasema lema hafai je lusinde anafaa? Pia umuhimu wa mbunge wanaujua wapiga kura wake
   
 8. m

  mabugatpb New Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Katiba inakuruhusu ila usitoe mawazo ya wengine ugesema kwa mawazo yako wewe unataka sifa zipi na wewe unaelimu gani acha upuuzi wako
   
 9. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Wewe wasema
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Mtazamo wako tunaheshimu!
   
 11. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Kyatamila!!!!
   
 12. Y

  Yetuwote Senior Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa vizuri ukiwataja wote wasio kuwa na sifa za kuwa wabunge bila kuwa na ushabiki wa vyama ukianza na Lusinde.
   
 13. darison andrew

  darison andrew Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sina hakika kama hekima inatawara maneno yako unataka wastarabu wezi,lema anafaa kuriko unavyo fikili atafaa siku zote kama ataruhusiwa kugombea kazi kwenu ccm
   
 14. g

  godliving nicholaus New Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inaonekana hujui unachokiongea!!!!!!
  shame on
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Lusinde

  John Komba

  Lwakatare Getruda
   
 16. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mara ya kwanza mahakama za tanzania zimetenda haki. Hongera hakimu na majaji wa mahakama za tanzania
   
 17. n

  nyamandu Member

  #17
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani hatambui matatizo yanayowakabili wananchi wake?
   
 18. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  lema takuwa mbunge arusha mjini mpaka siku ikulu itakapokombolewa.
  unataka powa hutaki kajinyonge.
   
 19. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,892
  Trophy Points: 280
  Mahakama haiwezi kutuchagulia mbunge kamwe,
  Kwa taarifa yako hatukati rufaa ili tuwaonyeshe kuwa arusha hatupelekwi kama mazezeta.
  Nyie mna pesa, sisi tuna mungu.
   
 20. M

  Mwanyava JF-Expert Member

  #20
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ivi kati ya Lusinde na Lema nani mwenye matusi?
  Au kwa vile wanajua Lusinde hatashitakiwa?
   
Loading...