Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

East African common visa haitufai kwani kuna mambo mengi sisi kama Tanzania hatujajizatiti..kama mambo ya earlines etc. why William ameshindwa kujibu swali langu anadai eti mambo ya woga yamepitwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ktk kuonyesha kwamba viongozi wengi wa ccm wako karibu na vijana wamekuwa wanapishana nyumbani kwa steven kanumba. Je hii ni dalili kwamba wanajaribu kujiweka karibu na vijana ili waonekane kwamba...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Wilbrod Slaa ‎"Vyama vinapita lakini undugu wa Watanzania utaendelea kudumu milele. Kamwe itikadi za vyama zisitumike kutuchonganisha." Mh. Freeman Mbowe
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau Ni muda mrefu sasa kamanda wetu hatujamsikia, mara ya mwishomm kumuona ilikuwa siku ya mdahalo alipomnyosha Mnyaa star tv, km kuna mtu ana taarifa za wapi yupo kamanda wetu...
1 Reactions
79 Replies
10K Views
Nimezungumza na watu mbalimbali na ma_analyst ukweli ni kwamba busara za lema godbless juu ya mabadiliko zinasubiriwa mikoani.Ni sawa na kumtoa panya uvunguni sasa anaelekea kusumbua nje...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
mwenyekiti wa Cuf Prof Lipumba hivi sasa akimaliza kuwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Tanga waliojitokeza kumsikiliza katika mkutano wa kuwashukuru wakazi wa mji wa tanga kwa kumchagua...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Hivi kauli za viongozi hawa baada ya kustaafu kwao wanafaa kuwa walezi wa Taifa hili kweli? B. P. MRAMBA; (kuhusu ndege ya Rais) "lazima inunuliwe ikiwezekana wananchi wale nyasi!" MAGUFULI...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna mwana chadema aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha wakati wa kampeni za chaguzi mdogo arumeru mashariki, allmaarufu kama MATELEPHON,vipi jamani alipatikana? Kama bado ni hata gani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Star tv kwanini inabagua kusoma gazeti la mwanahalisi na raia mwema?habari za upinzani hurukwa ktk magazeti,kwanini hv?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hiki chama kinaongozwa na watu waonabadililika kimisimamo kila mara ambao hawatumii busara kufikia maamuzi. Hukumu iliyoufuta ubunge wa Lema ilipotolewa ilipokelewa na tamko la Lema kuwa atagombea...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Hatimaye Rais Jakaya Kikwete ameteua Tume ya Katiba yenye wajumbe 30. Tume inaongozwa na Majaji Wastaafu; Jaji Joseph Warioba kama Mwenyekiti na Jaji Augustino Ramadhan kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimeshuhudia watumishi wa serikali wengi sana katika mkutano wa chadema pale NMC.hii inamaanisha anguko la ccm limekaribia.chadema kaza uzi ukombozi unakaribia.
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Kwa mara nyingine tena busara imetumika baada ya kutumia maneno ya kuwatuliza wanachama wa Chadema. "Mahakama si mtu mmoja bado tuna majaji wengine wenye uelewa, tutakwenda huko kudai haki"...
17 Reactions
46 Replies
6K Views
Wana jamvi habari zenu. Nimekuwa nikitafuta majibu ya kwa nini CCM na CHADEMA kutunishiana misuli na kufikia hatua ya kutangaza vita baina yao. Sasa nimeanza kufahamu kwa nini hali iko hivi...
6 Reactions
62 Replies
8K Views
Edson: vipi mzee naona umekaa umetulia tuli ,gazeti gani hilo unasoma? Baba: Aah! Leo si ni jumapili halafu kama haitoshi ni jumapili ya pasaka, kwa hiyo leo ni siku nzuri ya kupumzika na...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika maadhimisho ya Ijumaa kuu Askofu Mkuu kanisa Katholiki Jimbo la Arusha Josephat Lebulu alisema"...Matumizi ya mabavu ambayo hufanya makundi ya watu kukaa kwa siri na kupanga mbinu za...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Kama tilivyosoma vifungu vilivyotumika kumwadhibu Mh Lema, Je 2010 JK na ccm hawakuyatenda? 1)Kumkashifu Dr. Slaa masuala ya mapenzi 2)Siasa za kibaguzi 3)Rushwa
0 Reactions
13 Replies
3K Views
a wale ambao hawakupata bahat ya kuhudhuria mkutano wa chadema ambao umeisha mda mfupi uliopita,hatma yake ni kwamba CHADEMA inakata rufaa jummane kupinga hukumu ya Lema.Cha zaidi ni kwamc Lema...
20 Reactions
64 Replies
7K Views
... kwa nini nimeamua hivi? 1. Siku zote nimekuwa najua na kuona udhaifu wa serikali, ila nimekuwa naamini kuwa criticism zinazotolewa serikali itazisikia. 2. Nilidhani magamba wana mapenzi na...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Mkuu salute! Jana katika kipindi cha tuongee asubuhi kilichorushwa na Star TV (Jicho letu ndani ya habari) ndugu Dennis Mpaganze (Sijui kama nimelispell vizuri jina lako) ulionekana kukereka sana...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…