Busara za Mbowe zaonekana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Busara za Mbowe zaonekana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EasyFit, Apr 7, 2012.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kwa mara nyingine tena busara imetumika baada ya kutumia maneno ya kuwatuliza wanachama wa Chadema.

  "Mahakama si mtu mmoja bado tuna majaji wengine wenye uelewa, tutakwenda huko kudai haki".

  "Vijana tulieni tusionekane chama cha vurugu acheni wao waanzishe vurugu, lakini tuwe tayari kwa vurugu..dah!"

  Hizi ni busara za hali ya juu tukubali tusikubali kama si kutuliza hasira kwa busara saa hizi tungekuwa tunasema mengine.

  Kama serikali, Usalama wa Taifa, Polisi haioni umuhimu wa mtu huyu basi haitapata mwingine.
   
 2. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  come again.
  An appeal?
   
 3. T

  The Big G Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Mbowe is great leader
   
 4. Atukilia

  Atukilia JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 643
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  yap appeal ni cheap zaidi, ikishindikana ndio kwenda kwenye uchaguzi. Kama ni kweli wali weza ku influence mahakama basi tume ndio rahisi zaidi. Jambo lingine watanzania tukumbuke ukiacha hii hukumu hv itajenga precedence hivyo bora itenguliwe kama judge alikosea.
   
 5. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mh.F.Mbowe nakuamini na kukuheshimu sana
   
 6. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kuna mwanasheria anisaidie kuwa endapo umekata rufaa court of appeal gharama za kesi ya mahakama kuu anatakiwa kuzilipa?
   
 7. M

  Mbinga Member

  #7
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Watanzania tuungane, ukombozi unakuja!
   
 8. ZigiZaga

  ZigiZaga JF-Expert Member

  #8
  Apr 7, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 781
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 180
  nisaidien,je wakati rufaa inasikilizwa ,lema ataendelea na ubunge?
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Iwapo maamuzi ya mahakama kuu yatatenguliwa na ya rufaa ndio anaweza kuendelea na ubunge
   
 10. M

  Matumba Member

  #10
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhan ndo lamuhim zaid kukata rufaa badala ya kurudia uchaguzi saivi.
   
 11. k

  kitero JF-Expert Member

  #11
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kamanda mbowe nimemkubali,dah ile si kisomo bali ni hekima na kipaji cha kuzaliwa.nimemsikiliza tangia mwanzo mpaka mwisho.lait mikoa yote ingekuwa kama Arusha,na akasema tunahitaji kuwa na makamanda lindi,mtwara,tanga,dodoma monduli na simanjiro.wanaenda kukata rufaa j4.all the best wawakilishi wa watz
   
 12. M

  Miimo Senior Member

  #12
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hekima na busara ni jambo muhimu sana kwa kiongozi anae hubiri haki. Great Mbowe
   
 13. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #13
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mpaka nimetoa machozi
   
 14. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #14
  Apr 7, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  nnakubali 100% uamuzi huu ni bora zaidi sababu zipo nyingi sana .....
   
 15. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #15
  Apr 7, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,053
  Likes Received: 1,440
  Trophy Points: 280
  Hapa ndo muhimu zaidi. Haki haichelewi! Kukata rufaa ni kitu chema ili kuonesha na kunyosha ukweli wa jambo! Mie hili naliunga mkono!
   
 16. m

  mkatangara Member

  #16
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani nakala ya hii hukumu inaweza iktawekwa jamvini tuisome?
   
 17. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #17
  Apr 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hichi chama
  kweli kina wasomi
  waliobobea!Nawa
  pa bg up kwa
  maamuzi haya.
  Lakini je mahaka
  ma zetu hazitachu
  kua muda mrefu
  kutoa hukumu?
   
 18. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #18
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  rwakibalila (or whatever you are called) shame on you! Na kwa siku zako zote zilizobaki kwa maisha yako utakuwa unakikimbia kivuli chako mwenyewe!
   
 19. y

  yaya JF-Expert Member

  #19
  Apr 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu, nami binafsi nakubaliana na uamuzi huo. Yaonekana japo sina uhakika, CDM licha ya kujua kwamba wana asilimia kubwa za kushinda uchaguzi mdogo wa jimbo la Arusha mjini iwapo utaitishwa.
  Lakini kwao kulinda kodi za wa-Tz kwa matumizi yaliyo muhimu zaidi ni kipaumbele. Kwamba uchaguzi mdogo liwe ni suluhisho la mwisho kabisa iwapo rufani itashindwa.
  Hongera sana CDM, iwapo hivyo ndivyo.
   
 20. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #20
  Apr 7, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kabla ya rufaa kuanza Lema anakuwa bado mbunge au jimbo liko wazi
   
Loading...