Tujikumbushe kauli hizi....!!

SALOK

JF-Expert Member
Sep 20, 2011
3,318
1,936
Hivi kauli za viongozi hawa baada ya kustaafu kwao wanafaa kuwa walezi wa Taifa hili kweli?
B. P. MRAMBA; (kuhusu ndege ya Rais) "lazima inunuliwe ikiwezekana wananchi wale nyasi!"
MAGUFULI; "mkiona nauli kubwa pigeni mbizi!"
B. W. MKAPA; (mgodi wa ......!!) "watu wanawivu wa kijinga"
WASSIRA; "........mvua? nani kawaambia mimi ni waziri wa mvua?"
ONGEZEA UNAZOZIKUMBUKA!
 
Magamba ni hatari kwa maendeleo ya taifa!!
 
Kabla ya kujiuliza SWALI HILI GUMU ni vyema tujielewe sisi Wenyewe Kama Wana Nchi na Hivyo NCHI KWANZA u VYAMA Baadaye!!
 
kabla ya kujiuliza swali hili gumu ni vyema tujielewe sisi wenyewe kama wana nchi na hivyo nchi kwanza u vyama baadaye!!

na kuifanyia kazi dhana hii ndo ukombozi utapatikana vinginevyo hawa jamaa wataendelea kututukana na kutukandamiza kila siku!
 
Hivi kauli za viongozi hawa baada ya kustaafu kwao wanafaa kuwa walezi wa Taifa hili kweli?
B. P. MRAMBA; (kuhusu ndege ya Rais) "lazima inunuliwe ikiwezekana wananchi wale nyasi!"
MAGUFULI; "mkiona nauli kubwa pigeni mbizi!"
B. W. MKAPA; (mgodi wa ......!!) "watu wanawivu wa kijinga"
WASSIRA; "........mvua? nani kawaambia mimi ni waziri wa mvua?"
ONGEZEA UNAZOZIKUMBUKA!
Huyo huyo Tyson:tunawambia mlime mtama ndio unastahimili ukame hamtaki,sasa mnalia mvua mvua sasa serikali iwange!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom