Wasomi na watumishi wa umma wahudhuria mkutano wa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasomi na watumishi wa umma wahudhuria mkutano wa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Apr 7, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nimeshuhudia watumishi wa serikali wengi sana katika mkutano wa chadema pale NMC.hii inamaanisha anguko la ccm limekaribia.chadema kaza uzi ukombozi unakaribia.
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Pamoja sana,binafsi ni mtumishi wa uma,but cdm is in my blood,nilikuwepo pia.nukta
   
 3. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nionavyo mm kuenguliwa kwa G Lema ndo kumezidi kuipandisha chati CDM.VIVA CDM ndo kwanza alfajiri mapambano yaendelee
   
 4. U

  Ubongo Silaha Senior Member

  #4
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kusikiliza na kujiunga na Chama cha Siasa chochote si dhambi
  Kinachotakiwa ni kuwa na weledi (professionalism) wa kutosha kutoruhusu itikadi yako kuvuruga kazi
  Na Umma na Serikali watakuwa na bahati kama watumishi wake watakuwa wanapenda sera za Chadema maana ufisadi utapigwa vita
  Ni Serikali ya kipuuzi tu ndio itawatisha watumishi wake wasijiunge na chama wanachotaka
  Tofauti za vyama na itikadi si uadui
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ni wengi mno!madaktari,manesi,walimu,bank tellers,polisi,wanajeshi,maafisa kilimo,wanafunzi wa vyuo n.k.
  Mwisho wa ccm arusha uko wazi sijui mikoa mingine.
   
 6. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  mambumbu na makanjenje huwa yanaudhurua mikutano ya ccm na kinara wao lusinde kichaa wakuzaliwa.m4c milele
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Duh! chadema kwa masifa..sijui siku wakipata (God Forbid) kama tutalala kwa kelele
   
 8. Smallfish

  Smallfish JF-Expert Member

  #8
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu,hiyo sensa yako ilikua kali.Watu waliohudhuria walikua wengi mno kiasi cha kutotambua mtumishi wa umma na asiye mtumisha wa umma
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nimewaona watu hao ambao sijazoea kuwaona kwenye mikutano ya cdm arusha.
   
 10. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #10
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,734
  Likes Received: 17,782
  Trophy Points: 280
  Mtumishi sikuwaepo, ila huku mikoani tena ndani ya ofisi za umma watu iliwauma sana
   
 11. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #11
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Taasisi nyingi za kiserikali hapa Arusha ziko maeneo ya karibu kiasi kwamba wafanyakazi huwa wanafahamiana kwa sura . Kwa mfano taasisi nyingi zipo kati ya Polisi central hadi Manispaa panda mpaka Mt. meru hotel Wafanyakazi wengi wa taasisi na mashirika yaliyopo eneo hili kama BOT, TRA, Madaktari, wafanyakazi wa serikali kutoka Kilimo mkoa, mkuu wa mkoa, ofs mkuu wa Wilaya, AICC hukutana maeneo ya kupata lunch kama Immigration, City garden, traffic Polisi au BOT na hivyo kufahamiana angalau kwa sura.
   
 12. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #12
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ukombozi daima
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mnajifariji sana wakuu, Tanzania siyo Arusha, na Pemba siyo Zanzibar

  Kwahiyo kuwa na wabunge watatu katika mkoa wenye wabunge 6 haitoshi..

  mna kazi kubwa sana kwanza kuendelea kubakiza hiyo status quo at the same kutafuta mikoa mingine..

  itawachukua muda mrefu sana..kukubalika Tanzania nzima
   
 14. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #14
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Watu wanaweza kuwa wengi ila kujua kwamba hawa niwafanyakazi wauma inanipa shaka!CDM nichama chenye kuonyesha muelekeo,ila baadhi yawatu wanajiita wakereketwa wanataka kukiharibia kwahoja zisizo na mashiko!
   
 15. U

  Ubongo Silaha Senior Member

  #15
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kama watumishi wa umma na serikali wamefika hatua hii basi wamepevuka
  Serikali makini haiwezi kuwawekea mipaka ya kiitikadi watumishi wake
  Watumishi wana weledi wa kutosha kujua itkadi za kisiasa hazichanganywi na kazi
  Tofauti ya itikadi si uadui
  Serikali itapaswa kushukuru watumishi wake wakiwa na itikadi za Chadema ambazo ni uwajibikaji na mapambano dhidi ya rushwa na dhuluma za aina zote
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkuu ile dhana kwamba wanaohudhuria mikutano ya cdm
  ni wauza
  nyanya na wamachinga imetoweka.
   
 17. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #17
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkuu nimehudhuria mikutano kadhaa ya cdm ila huu mkutano wa leo ni tofauti sana.watu makini wamehudhuria sana.
   
 18. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #18
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ukweli ndio huo arusha ni ndogo sana tunajuana
   
 19. m

  mtume pauli Member

  #19
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtanzania yeyote aliyemaliza form 4 na kuendelea lazima ni mfuasiwa demokrasia, ispokuwa wachache walio kwenye line ya mafisadi ofcose. ukitaka kuhakikisha hili subiri mapinduzi ya 2015. wengi hawataamini lakini ukweli ccm inakwenda kuzikwa.
   
 20. Marunda

  Marunda Senior Member

  #20
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  peopoooooooooz! Naona mwanga wenye matumaini. Mabadiliko ni lazima
   
Loading...