KIKWETE na ushikaji wake, waiyumbisha Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KIKWETE na ushikaji wake, waiyumbisha Mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ntamaholo, Apr 6, 2012.

 1. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Wana jamvi habari zenu.

  Nimekuwa nikitafuta majibu ya kwa nini CCM na CHADEMA kutunishiana misuli na kufikia hatua ya kutangaza vita baina yao. Sasa nimeanza kufahamu kwa nini hali iko hivi mkoani mwanza. Ifuatayo ni dondoo kuihusu mwanza.

  Mnamkumbuka VICKY KAMATA? Huyu mdada alifanikisha kampeni za KIKWETE 2005 kwa kiasi kikubwa na hata 2010 pia alimtangaza J.K. Awali tulijua anawinda VITI MAALUM, na nadhani alifanikisha hilo kupitia jimbo moja huko geita kwa walima nanasi.

  Baada ya J.K kushinda, tayari walianza mahusiano yaliyopelekea VICKY kusomeshwa na mkuu wa kaya sijui nchi gani huko uzunguni, na mara baada ya kurejea nchini, alipewa tuzo ya kuwa AFISA MAHUSIANO BoT, kazi ambayo ni kubwa mno.

  Mara baada ya kupewa tuzo hiyo, na kwa kuwa mzee ana bofya, mapenzi yakazaa haramu nyingine ya J.K. Kwani VICKY KAMATA alihakikisha mjomba wake naye kupitia penzi analogawa kwa J.K anapata matunda yake. Kwani baada ya mda kidogo, kikwete alimtangaza Eng. Ndikilo kama sijakosea jina lake kuwa mkuu wa mkoa wa Mwanza, kazi ambayo hajawahi kuifanya japo hata kupitia ukuu wa wilaya, wachunguzi wa mambo wanasema hajapitia labda mwenye info zake atujuze.

  Kwa kuwa huyu eng. ni mgeni kwenye utawala cheo ambacho tunakipigia kilele kife, amekuwa akitanguliza siasa mbele hata pale panapohitaji busara zaidi. Wakati CCM wanahitimisha kampeni zao, walikiuka baadhi ya mambo, hasa kibali cha kuendesha mkutano wao na sehemu waliyokuwepo.

  Kwa kiburi na ulevi wa madaraka, waliamua kuziba njia huko mwembe sangara, na POLISI ILEMELA walipo gundua hilo, walienda kuwazuia kuendelea na mkutano wao kinyume cha sheria. Kilkichotokea pale yalikuwa ni majibizino kati ya polisi hao na makada wa CCM, mwisho TEGETE baba mzazi wa JOHN aliwatamkia POLISI KUWA WAO NDO WENYE NCHI WATAWAVUA VYEO VYAO.

  Ndipo CCM walipo AMUA KUJULISHA KWA ENG. MKUU WA MKOA, kuwa POLISI imewafanyia fujo. Naye pasipo kufikiri, akaagizwa wakamatwe na wawekwe loc up viongozi wa jeshi la polisi wilaya ya ilemela. CCM walidai kuwa wakati wanatimuliwa kuondoka, bendera yao ilichanwa na POLISI na kumtaja mtu mmoja anafahamika kama Insp. Boke, na viongozi wengine walizishusha bendera zao.

  POLISI hao hawakukamatwa wala hawajawekwa lock up, ndipo makada wa CCM haijajulikana nani aliandika kati ya mkuu wa mkoa na hawa CCM wengine wa Mwanza, wakaandika ujumbe mfupi wa maneno kwa KIKWETE wakituhum POLISI Mwanza kushindwa kuwachukulia hatua polisi ILEMELA waliochana bendera za CCM na wakaongeza kuwa POLISI MKOA wa Mwanza ni wafuasi wa CHADEMA kwani wanakipendelea CHADEMA. Na kitendo cha CHADEMA kushinda udiwani KIRUMBA, ilikuwa kama ushahidi kwao kuwa polisi inawapendelea CDM.

  Sasa nasikia tume imeundwa kuchunguza kama kweli POLISI walichana bendera za CCM, tume hii imepingwa vikali na watu mbalimbali kuwa haiwezekani mtuhumiwa polisi achunguzwe na polisi mwenzake. tusubiri tuone yatakayo tokea.

  POLISI KATIKA WAKATI MGUMU.

  Kwa ninavyoona, POLISI MWANZA, wako katika wakati mgumu sana, kwani kwa sasa wanatuhumiwa na pande mbili yaani CCM na CHADEMA.

  CHADEMA walikuwa wa kwanza kuilalamikia POLISI baada ya wabunge kudundwa na wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa CCM usiku wa kuamkia siku ya uchaguzi.

  Na CCM wanaituhum POLISI kushindwa kuwakamata makada wa CHADEMA waliowashambulia makada wa CCM usiku wa kuamkia siku ya kupiga kura. Madai haya ya CCM ni mapya kabisa, yametokea baada ya siku tano kupita.

  my take.
  1. Hizi kazi za kupeana kwenye katiba mpya zifutwe. kwani madhara yake ni mtu kuona yuko juu ya kila kitu na huondoa busara katika kutenda mambo mbalimbali.
  2. Pamoja na kwamba jeshi haliaminiki, tuliache lifanye kazi yake na kuipa ushirikiano wa hali ya juu sana.
  3. Nawaomba viongozi wa serikali kuu mwanza, polisi mwanza, viongozi wa siasa na wanasiasa mwanza, viongozi wa dini, watu maarufu na wadau wengine, wakutane, wakae pamoja na kurekebisha tofauti zao ili tuanze kuijenga mwanza yetu.
  4. Wananchi, matamko ya wanasiasa tunao wapenda, tuyachukue na kuyaweka katika mizani ya kutafakari kwa kina, ili utendaji wetu usije kutuhukum baadae kwa kukurupuka. ikumbukwe kuwa kama yatatokea machafuko, ni sisi laymen & women tutako athirika zaidi. masema haya kwani tayari CCM na CHADEMA wametoa masaa kadhaa kwa POLIS na kama hawatatekeleza matakwa yao, wataingia mtaani kutaufuta wabaya wao ambapo vipigo ndivyo vitakavyo tawala.

  n,b usiniulize source plz
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hadi Kikwete atakapofungwa 2016 kwa damu zilizomwagika juu yake nchi itakuwa hohehahe. Sitaki kujiingiza katika nani ana haki ya kufanya vurugu lakini watu wanamtaja Kikwete miongoni mwa wawekezaji wakubwa huko kanda ya ziwa hasa Shinyanga na Mwanza.
   
 3. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Tujikumbushe upendeleo wa Kikwete katika kugawa nafasi.
  1. Eng Rajab Rutengwe kapewa ukuu wa mkoa katavi ni jirani yake kule Msoga.
  2. DVC Mlacha wa UDOM inasemekana wameoa kumoja
  3. Said Mwema wa polisi inasemekana kuna kaushemeji
  4. Sophia Simba, shemeji kwa KK
  5. Rwekaza Mukandala UDSM alipiga tafiti za mfano wa ramli na redet yake kuelekea 2005
  6. Shukuru Kawambwa, homeboy
  7. Salva Rweyemamu, alitumika kumchafua mzee Salim na magazeti yake ili amsafishie njia swaiba

  Wengine wanabodi ongezeni kwani orodha ni ndefu
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Duh kweli duniani kuna mambo
   
 5. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu mtamamaholo unamaana tume iliyoundwa ni ya kuchunguza kuchomwa kwa bendera siyo kujeruhiwa kwa wabunge wa CDM?
   
 6. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Anahusika kwa yote mabaya yanayoikumba nchi, kwani ndiye mwekiti wa baraza la mawaziri. maovu yote yanayofanywa na mawaziri wake ndiye kayabaliki, ndio maana LOWASA alilalamika kutoswa kivile.

  Jana GEITA wananchi wamechoma gari la GGM, ni kutokana na mgodi wa walala hoi kufungwa na kukabidhiwa GGM. Mpaka wasukuma wanaandamana wazee wa ntu tabhu, ujue ukombozi uanawadia
   
 7. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kamteua Richard Kasesera mshikaji wake na jirani yake migombani kuwa Mwenyekiti wa bodi!!!
   
 8. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  inawezekana yote mawili lakini kubwa ni POLISI WILAYA ILEMELA KUCHANA BENDERA YA CCM. Ndicho kilichocho waleta hapa mwanza.
   
 9. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  ya VICKY KAMATA nadhani imevunja rekodi. from no where to BoT PUBLIC RELATION OFFICER? Kweli?
   
 10. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu ni kweli Vick alisomeshwa nje na mkuu wa kaya,alisomeshwa nchini Uingereza ili aje kupewa hiyo post pale b.o.t,na hata wadadisi wa mambo pale B.O.T wanasema kua kesi ya Liumba mbali ya kua ilikua na wahusika wengi,ila ilishinikizwa yeye Liumba ni lazima afungwe kwa kua inasemekana alikula chakula ya mkuu (Vicky) wakati anaingia B.o.t,hao ndio aina ya viongozi wetu
   
 11. I

  IWILL JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kuna mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza na jamaa wengine walikuwa waingiza bia za magendo toka kenya via ziwa victoria wakisaidiana na askari kanzu mmoja wanamtapeli kikwete kama fara.
   
 12. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kazi tunayo wakuu
   
 13. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,716
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  heshima mbele mkuu...hapo kwenye bold, unakusudia farasi au .....?
   
 14. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Aisee! huyu dingi keshamaliza nchi yetu hakika,yaani anadiriki kuajiri washikaji zake mahawara zake then hawana hata skills? ni aibu sana kwa kiongozi mkuu wa nchi na mambo ya aina hii,any way tuendelezeni Elimu ya Uraia kila mahali tulipo ndugu zangu ili 2015 kieleweke
   
 15. c

  cilla JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  ccm chama cha mashemeji,mahawara, na undugu.hata mgombea wa ccm jimbo la kawe 2010.ni hawara wa makamba.mama Minde aliyegombea moshi mjini 2005 ni shemeji wa mkapa
   
 16. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Malaika Beach Hotel ya Mwanza ni mali ya Mwanae Ridhiwani Kikwete ! Weee subiri Mh Satta aje kama kule Zambia watakimbia hawaa.....!
   
 17. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  INAWEZEKANA NDIO WALIOANDIKA UJUMBE HUU

  Ujumbe huu ulitumwa kwa rais, nimeupokea kutoka kwa jamaa yangu aliyeko dsm. Matokeo ya ujumbe huo, nadhani ndo chanzo cha polisi kuunda tume kuchunguza suala hilo, tume inayo lalamikiwa na wadau, kwani inataja kuwa imehseheni maofisa toka makao makuu ya polisi dsm, kitu kinachodhaniwa hawatatenda haki. tusubir tuone, kila kitu mda wake ukifika kitajulikana, na siku za mwizi ni 40 tu
   
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mkuna wakati nchi hii imebugi step basi ni kuwa na rais kama huyu. yaani mweupeeeeeeeeeee
   
 19. E

  Emmanuel Piniel Member

  #19
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ipo siku yatatimia kama ilivyotokea misri etc
   
 20. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #20
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  si mda mrefu yatatokea tu
   
Loading...