Joshua Nassari akabidhiwa jimbo la Arusha mjini kwa muda

Baba Jotham

Member
Mar 6, 2012
84
40
a wale ambao hawakupata bahat ya kuhudhuria mkutano wa chadema ambao umeisha mda mfupi uliopita,hatma yake ni kwamba CHADEMA inakata rufaa jummane kupinga hukumu ya Lema.Cha zaidi ni kwamc Lema amepewa kaz ya kutembea Tanzania nzima kusambaza harakat za ukomboz kwa muda huu mfupi ambapo yupo likizo.Jimbo la Arusha mjini kwa sasa litakuwa chini yadogo janja (Joshua Nassar) akimwangalizia mbunge lema
8 minutes ago · Like · Remove
 
Dogo Janja ya Arumeru bado mabichi ya Arusha utayaweza? Mi nadhani ni wajibu wa wabunge wote wa CDM wa Arusha,Manyara na Kilimanjaro kusimamia jimbo hilo na su kwa Dogo Janja kwani Mzigo alionao Arumeru ni balaa.
 
Barikiwa kamanda Lema Mpaka ushangae. Mungu yu Upande wetu.

"Blessed are the flexible, For they shall not bent out of shape"
 
Mie naona itakua ni kazi nzuri zaidi kamanda Lema kukuza chama na kuendeleza movement for change katika kona mbalimbali za nchi yetu. Hakuna kulala peopleeeee...............................!
 
..Dogo Janja kanichekesha sana.

..anakwambia " mkuki haupigwi konzi " na " nyuki hawakumbatiwi "

..nimependa sana anavyoweza kuchangamsha jukwaa.

..namuombea afanikiwe ktk kuwaletea wananchi wake maendeleo, na nyota yake ya kisiasa iendelee kung'ara.
 
..Dogo Janja kanichekesha sana.

..anakwambia " mkuki haupigwi konzi " na " nyuki hawakumbatiwi "

..nimependa sana anavyoweza kuchangamsha jukwaa.

..namuombea afanikiwe ktk kuwaletea wananchi wake maendeleo, na nyota yake ya kisiasa iendelee kung'ara.

Walizoea kumnanga Lema ooooh elimu yake sijui nini, sasa kimekuja kifaa nomaa. Mbowe kasema wamtoa bereti na wameingiza SMG!!!! Ni full mashambulizi.
 
C.C.M there is no way waka revive,na wasipokua makini wataondoka madarakani kwa nguvu,maana dimbwi la vijana wenye hasira,wasiokua na ajira,na waliokatishwa tamaha na nchi yao ni wengi sana,vijana wa namna hiyo ni rahisi sana kuhamasika na kuchukua hatua za kung'oa uongozi wa nchi kwa maandamano hata kwa nguvu!hakuna kitu kibaya kama vijana wame elimika alafu wapo mtaani tu huku kikundi kidogo cha matapeli kinatafuna rasilimali za nchi as if wao ndio nchi yao pekee!hii ya Lema kuzunguka nchi nzima kuamsha vijana ni hatari sana kwa c.c.m,maana Lema ana convincing power ya ajabu!tunakusubiri Moro kamanda Lema,tupate shule toka kwako,maana watu wa Moro bado wamelala kidogo,nchi nzima inatakiwa iwe kama Arusha,Mbeya na Mwanza,hata Dar bado sana japo ni jiji!
 
Komaa dogo janja, piga kazi, utende kwa haki zaidi, epuka ushabiki kwa kufanya maamuzi makini zaidi.
 
Mungu atajidhihirisha dhidi ya Wabakaji wa Haki Tanzania,
sihitaji hata degree kwa hili kujua mihimili ya dola inatumika
kukandamiza demokrasia changa ya Tanzania.
Mungu atutangulie CDM.
 
kweli bwana, ni advantage kwa CDM kumtumia Kaka Lema kuzunguka the whole country kuhubiri UKOMBOZI wa pili baada ya ule wa December 1961 kushindikana.
VIVA CDM......TULIANZA NA MUNGU, TUTAMALIZA NA MUNGU, WAO NA FEDHA ZA KIFISADI, SISI NA MUNGU NA WATU WETU.....
 
Dogo Janja ya Arumeru bado mabichi ya Arusha utayaweza? Mi nadhani ni wajibu wa wabunge wote wa CDM wa Arusha,Manyara na Kilimanjaro kusimamia jimbo hilo na su kwa Dogo Janja kwani Mzigo alionao Arumeru ni balaa.

Japo cjakubaliana nawe kuwa Nasari hataweza kuimudu Arusha mjini,ushauri wako kwa ujumla ni chanya kwakuwafariji wanaarusha kipindi hiki.SUGU,MNYIKA,NYERERE V,ARFI,WENJE,LISSU nk wapeane ratiba ya kulitembelea na kuongea na wana wa Azimio ingawa msimamizi mkuu awe mmoja tu naye ni Nassari.
 
wanastahili kuungwa mkono kwa nguvu zote!
Maana hawapendi kusikia huyu Hamas anatembea!
Lakn wakumbuke mvua haizuiwi na viganja ! Utalowa Tu!
 
Tuko pamoja Chadema. Wakikati mti wanakuta mlishapanda miti.
.
 
Back
Top Bottom