Aliko Tundu Antipas Lissu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliko Tundu Antipas Lissu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gwota, Jan 15, 2012.

 1. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wadau
  Ni muda mrefu sasa kamanda wetu hatujamsikia, mara ya mwishomm kumuona ilikuwa siku ya mdahalo alipomnyosha Mnyaa star tv, km kuna mtu ana taarifa za wapi yupo kamanda wetu atujulisha.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,842
  Trophy Points: 280
  anawanyoa kimya kimya sasa hivi ..
   
 3. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Naona kipindi hiki wabunge wengi wako majimboni kwao wakiwambia wananchi mpaka sasa wamefanya nini!
  Nahisi naye atakuwa amejichimbia jimboni na kuendeleza mikutano ya kata kwa kata,kijiji kwa kijiji!
   
 4. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  sinajua watu wanataka kupumzika saizi wako ktk viroba kwenda mbele
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  kama yupo nadhani kesho lazima atie timu. si juzi watu wamemuulizia Halima si mmeona leo katia timu msibani.
   
 6. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  anajipanga kugombea urais 2015 anadai wakimyima atageuka hamadi rashidi
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Natamani niwe hai ili nishuhudie nini kitatokea 2015
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Omba uhai Mungu wako atajibu maombi.
   
 9. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  umeandika nini hapa mkuu sijakuelewa!
   
 10. T

  TUMY JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muda si mrefu utamskia tena vuta subira kidogo, kuna document ana malizia kuziandaa
   
 11. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Ukikosa bahasha za kuwapa waandishi utasikika wapi?
   
 12. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Juzi tu alifanya mkutano mjini Singida umesahau mkuu.... aliongea mambo mengi ikiwemo katiba mpya pavico na kuwashauri watz kuizika ccm.
   
 13. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #13
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kisharudi mjini toka jimboni kesho mtamwona msibani.
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hawajui ya kwmb maji yaliyotulia ndiyo yanazamisha!
   
 15. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ni jirani yangu, nimemuona jana nyumbani kwake Tegeta kibaoni.
   
 16. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #16
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  hayo majina uliyo andika mbona ni sawa na LAT?. Kama ndiye, basi yupo humu kila siku. ova
   
 17. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  usipende kutoa address za makazi ya watu online, wengine humu sio watu wazuri.......
   
 18. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #18
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,765
  Trophy Points: 280
  Kaja msibani jana
   
 19. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  kosa kubwa sana mkuu. hairuhusiwi. mia
   
 20. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,484
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  ....Ukiona Kobe kainama............
   
Loading...