Chadema kunyima haki ya uwakilishi arusha mjini ni halali??

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Hiki chama kinaongozwa na watu waonabadililika kimisimamo kila mara ambao hawatumii busara kufikia maamuzi. Hukumu iliyoufuta ubunge wa Lema ilipotolewa ilipokelewa na tamko la Lema kuwa atagombea katika uchaguzi mdogo ujao kwa hiyo hatakata rufaa, akielewa rufaa yaweza kuchukuwa muda mrefu kabla ya kufikiwa kwa hukumu husika. Pia alidai kama rufaa ikichukuwa muda mrefu atakuwa amewakosesha wana AR town uwakilishi bungeni.

Majuzi Mbowe kamgeuka Lema na kutoa tamko la kusudio la kukata rufaa; wenye akili tumeshangaa huu msimamo unatoka wapi na kwa maslahi ya nani???

Eleweke kuna mlolongo mkubwa hadi kuanza kusikilizwa rufaa, yaweza kufikia muda wa kikomo kesi za uchaguzi mkuu utafika pasipo AR town kupata mwakilishi wa mjengoni.

Viongozi wa CDM tuimieni BUSARA kwa manufaa ya wananchi wa AR town.
 
Mh Mh Mh..............Kibelaaa Nyavu zangu zimecheua Wikend angu itakuwa njema
 
Nadhani hujawaelewa, kukubali hukumu hii ni dalili kuwa maamuzi ni sahihi, na yaweza athiri maamuzi ya kesi nyingine zilizopo. Pia Lema kama angegombea na hukumu imekaa hivi ni rahisi ccm kukata rufaa na kufanikiwa kupata jimbo kirahisi. Pia kama mtu ukiongea jambo na kisha kukaa chini na kutafari maamuzi ya awali kisha kuja na mtazamo mwingine sio ukigeugeu. Na ndio maana hata rais alifanya hivyo.
 
Mkuu Why wasting your Valuable time and Energy kujibu Fitna na Propaganda za Magamba? Unafikiri Mafili hajui Hilo? Mh.. Mh.. Mh.....................
 
Kama mlidhani wataingia mkenge kukubali uchaguzi mdogo ili mukate rufaa na mgombea wenu apite bila uchaguzi imekula kwenu.
 
Mkuu Why wasting your Valuable time and Energy kujibu Fitna na Propaganda za Magamba? Unafikiri Mafili hajui Hilo? Mh.. Mh.. Mh.....................

Jimbo likiwa wazi bila uwakilishi mjengoni ni kuwatendea vyema wananchi?? ama kuwanyima haki ya msingi ya kusikilizwa mawazo yao yakapelekwa na mbunge mjengoni.
 
kabla hujapost thread yako jaribu kupitia thread zilizomo kwanza.
Hata mwakilishi wa arusha kwa sasa ni nassari.
 
Mkuu unapoteza muda na nguvu nyingi kubishana na magamba huyo gamba lake lipo kiunon had utumie shoka kulitoa ndiyo mwisho wake wa kufikir umeishia hapo
 
Mh Mh Mh..............Kibelaaa Nyavu zangu zimecheua Wikend angu itakuwa njema

inaonekana kuna watu wanatumia mbo.o kufikiria. Mtu kapatikana na kasa la kifungu kingine na kahukumiwa kwa kifungu kingine unataka wakubaliane na huu uhuni? Hivi unajua kwamba kifungu kilichotumika kwenye majumuisho ya kesi kinamzuia lema asigombee kwa miaka mitano?
 
Mbinu zenu CDM walishashtukia kitambo!

Kwanza kitendo cha Lema kutokukata rufaa maana yake ingelikuwa kukubaliana na maamuzi ya jaji.
Kwa kuwa hukumu ilikuwa feki, ni lazima Lema akate rufaa akatafute haki kisheria zaidi.
Tambua kwamba uchaguzi ni gharama, hivyo endapo Lema atashinda rufaa yake atakuwa ameokoa fedha ambazo zingetumika kwenye uchaguzi.

Magamba mna shida sana!
 
Mwulize hilo swali yule mpumbavu mwezenu aliyemvua ubunge mwakilishi wa wana wa Arusha
Jimbo likiwa wazi bila uwakilishi mjengoni ni kuwatendea vyema wananchi?? ama kuwanyima haki ya msingi ya kusikilizwa mawazo yao yakapelekwa na mbunge mjengoni.
 
Mbinu zenu CDM walishashtukia kitambo!

Kwanza kitendo cha Lema kutokukata rufaa maana yake ingelikuwa kukubaliana na maamuzi ya jaji.
Kwa kuwa hukumu ilikuwa feki, ni lazima Lema akate rufaa akatafute haki kisheria zaidi.
Tambua kwamba uchaguzi ni gharama, hivyo endapo Lema atashinda rufaa yake atakuwa ameokoa fedha ambazo zingetumika kwenye uchaguzi.

Magamba mna shida sana!

Kweli nimeamili kuna watu hawatumie ubongo wao vema , sababu za rufaa kwisha elezwa
 
Kile kifungu kilitumika ndivyo sivyo, kwani Lema hakupatikana na Rushwa wala hakuchana au kuzichoma kura.
Kesi ya udhalilishaji kijinsia kisingemzuia kugombea.
Ila we sema magamba wangetumia ubabe kumwondoa kwenye kinyang'anyiro.
inaonekana kuna watu wanatumia mbo.o kufikiria. Mtu kapatikana na kasa la kifungu kingine na kahukumiwa kwa kifungu kingine unataka wakubaliane na huu uhuni? Hivi unajua kwamba kifungu kilichotumika kwenye majumuisho ya kesi kinamzuia lema asigombee kwa miaka mitano?
 
Ukweli wanaujua sana ila na wao sasa wamejua kuwa CDM imeshtukia mitego yao.
CCM wote sasa mavi inagonga kwenye chupi hawana ujanja tena!

Ndio maana CCM haiwezi kupata mwelekeo kama bado kuna watu kama hawaa.
 
Jimbo likiwa wazi bila uwakilishi mjengoni ni kuwatendea vyema wananchi?? ama kuwanyima haki ya msingi ya kusikilizwa mawazo yao yakapelekwa na mbunge mjengoni.

Huu ushauri kama ingekuwa ndio busara yenu magamba msingewapa fedha wale madiwani watano waliotimuliwa chadema wakafungua kesi mahakama kuu huku mkijua kwamba mahakama zenu zinachelewa kutoa haki, hivyo kuwanyima wananchi uwakilishi ndani ya baraza la madiwani.
In short hapa hauna hoja gamba kajipange upya!
 
CCM imeshakuwa chama cha upinzani bila kujijua. Ni siku chache tu zinasubiriwa.
 
Asante sana kamanda unajua hawa magamba wanaakili zaajabu saaana hata hilo wanashindwa kulionda....
One word wachkue kutoka kwangu "Arusha will not go green so soon" labda 2070 huko....

Makada wa sisiemu ndio waliofungua kesi so watakaowanyima haki wana-AR ni wana-ccm.
 
Back
Top Bottom