Star tv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Star tv

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MANGUNGO, Apr 9, 2012.

 1. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Star tv kwanini inabagua kusoma gazeti la mwanahalisi na raia mwema?habari za upinzani hurukwa ktk magazeti,kwanini hv?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kwani Diallo ana cheo chochote sirikalini?
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwani gazeti la Mwanahalisi na Raiamwema ni magazeti ya kila siku? Hilo la kurukwa kwa habari za upinzani lisikupe shida kwani mtaani nako wanazuia watu kusoma au wewe ukishasomewa vichwa vya habari haununui tena gazeti?
   
 4. M

  Mabelana JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Yani humu mkuna watu mawazo yao kila kitu ni kuwaza upinzani kwa kila anachokiona, hamna kazi za kufanya? kuweni busy na kazi siyo kusubili upinzani unafikili wao hata wakichukua dora watakujazia pesa mfukoni bila kufanya kazi. Halafu hata ratiba za magazeti hujui unawaza upinzani tu.
   
 5. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,488
  Likes Received: 2,147
  Trophy Points: 280
  Ww ndo hujaelewa na sio kuwaza upinzani kwani kuna hoja hapo. HABARI ZA UPINZANI hii ni sehemeu kuu ya swali halafu anza kujibu. Usiwaze kinyume kila siku hukusoma kiswahili????????????????? Darasani
   
 6. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Mkuu,kabla sijatoa mchango wangu,ni LAZIMA ukumbuke kuwa:
  1:MAGAZETI yana MAANA PANA SANA!!!
  Hii ni kutokana na sababu ZIFUATAZO:
  a/MAGAZETI ni MAJARIDA yenye MAANDISHI yaliyo undwa na MANENO ambayo yana VIPENGELE vidogovidogo zaidi vinavyo itwa HERUFI!!
  Kila herufi Kubwa hapo juu inabeba maana inayojitegemea!
  2.WAPINZANI ni MAANA mbaya ZAIDI!!
  Kwani lina maana kama NNE HIVI:
  a/Walio zoea kupinga
  b/Wahaini Nk!
  3. MWANAHALISI,MTANZANIA,RAIA MWEMA,TBC au TV TUKUYU zina MAANA zinazotofautiana!!
  KWANI:
  1.KILA MOJA INA MAANA YAKE.
  2.kila moja Linatoka Mara MOJA KWA WIKI na
  MBAYA ZAIDI,
  Kila wiki kwa Kila moja maudhui yanatofautiana!!

  INAYO UMIZA KICHWA SANA ni kuwa MWAKA una WIKI 52 na sina UHAKIKA wewe UNA WIKI NGAPI?
  -Baada ya kuyasoma maswali yangu na Kuyaelewa,hivyo kukupa uwanja mpana zaidi wa kujieleza:
  1.RUDI HAPA.
  2.Soma MAELEZO YANGU ili YAKUSAIDIE kujenga HOJA NZURI ZAIDI.
  3.MIMI na GREAT THINKERS WENZAKO TUTARUDI HAPA,ili Kuona Uwezekano wa Kuchangia Kwa kukufungukia zaidi!
  MY TAKE:
  ubongowamwananchi says thanks for this very useful post!!
   
 7. S

  STIDE JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35


  Mkuu wewe ni noma mara hii tu umekuja na ID mpya!!?
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimesoma post yako kuhusu Vipi Gazeti la Mwananchi sikukuelewa. Nimesoma hapa.sijakuelewa tena!
  Unatoa kauli kama alizokuwa anazitoa John Okello baada ya mapinduzi ya Zanzibar!
   
Loading...