Mbowe/Dr Slaa: vyama vinapita,utanzania unabaki,tusigombane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe/Dr Slaa: vyama vinapita,utanzania unabaki,tusigombane

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mwanajamii, Mar 30, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  [h=6]Wilbrod Slaa
  [/h][h=6]‎"Vyama vinapita lakini undugu wa Watanzania utaendelea kudumu milele. Kamwe itikadi za vyama zisitumike kutuchonganisha." Mh. Freeman Mbowe[/h]
   
 2. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  siku hizi kidogo wameanza kuwa na akili, kama mlikuwa mnajua hivyo kwa nini mliwapeleka watu katika maandamano ya Arusha, leo ndio mnakuja kujua hayo kuwa vyama vitapita lakini undugu utaendelea, CUF walijua hivyo miaka 5 iliyopita.
   
 3. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hahaha Chadema wamechelewa sana.its over now naona wamerusha taulo finally.

  Hata hivyo nimpongeze maneno yake yanaonesha ameanza kukomaa.
   
 4. w

  wa home JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  We mbona unaongea km Mtatiro Julius, una undugu nae?.
   
 5. Zizu

  Zizu Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mapacha wasiojuana hao
   
 6. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hakuna shida kwa sasa undugu na ccm una dosari wasali vizuri watumie mipesa wabunge we2 waliopigwa mwanza wapone kabisa maana likitokea baya ni heri taifa lijue amani itakuwa historia kwa mtazamo wangu
   
 7. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Midude inayofikiri kinyume kama hii ni hatari!! huoni unapotosha wewe "thats only rencons speech" hivi Mandera angeamua kuwarudi wazungu baada ya kuwa raisi wa rsa ingekuwaje! jiongeze wewe hapa si kwa watu wenye akili kama yako sawa na Lusinde.
   
 8. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  hapo kwenye red kama una kamusi karibu na wewe itumie ikusaidie,wana wa israeli wakati wantoka utumwani Misri walitoka kwa maandamano hadi kanani kwa upendo na amani hivyo CDM inafanya,
   
 9. papason

  papason JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Ni hivi
  JINO KWA MENO, FIMBO KWA RUNGU, JIWE KWA RISASI............
  Kwa maana nyie wamagamba ustamilivu umewashinda! Haiwezekani muwa kate mapanga wabunge wetu, mteke nyara wanachama wetu huku tukiwaangalia tuu
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  tanzania kwanza,vyama badae
   
Loading...