Kada wa CHADEMA aliyetekwa Arumeru alipatikana? Nini kinaendelea?

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Kuna mwana chadema aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha wakati wa kampeni za chaguzi mdogo arumeru mashariki, allmaarufu kama MATELEPHON,vipi jamani alipatikana? Kama bado ni hata gani zinaendelea kuhakìkisha anapatikana akiwa mzima au mfu? viongozi wetu wa chadema ni hata gani zinaendelea ju ya huyu kamanda na mpambanaji mwenzetu?
 
Juzi nilipita maeneo ya Mianzini nilikuta waendesha boda boda wanamzungumzia, nilisikia jamaa wanazungumza kwamba ccm walitaka kumtoa kafara anabahati sana Matelefon.
Sina hakika kama alipatikana, ila kwa stori za wale washkaji nadhani alipatikana
 
Juzi nilipita maeneo ya Mianzini nilikuta waendesha boda boda wanamzungumzia, nilisikia jamaa wanazungumza kwamba ccm walitaka kumtoa kafara anabahati sana Matelefon. Nilitaka kuwauliza njue ukweli, ghafla majembe wakatokezea jamaa wakasepa na kuniacha pale.
Sina hakika kama alipatikana, ila kwa stori za wale washkaji nadhani alipatikana
 
Back
Top Bottom