Sijaelewa kwanini William Malecela anataka tuwe na East African common visa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijaelewa kwanini William Malecela anataka tuwe na East African common visa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by i pad3, Apr 8, 2012.

 1. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  East African common visa haitufai kwani kuna mambo mengi sisi kama Tanzania hatujajizatiti..kama mambo ya earlines etc.
  why William ameshindwa kujibu swali langu anadai eti mambo ya woga yamepitwa na wakati? anadai eti inabidi tuwe nayo ili tuwe na free movements...sijaelewa naomba mwenye kunielewesha vizuri anipe nondo zaidi
   
 2. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  najua mods mtaufuta huu uzi ila hamna noma
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  anaangalia tendo na free movement kama ni faida wakati wote bila kujari matokea hasi na kwa kiasi nchi imejiandaa.

  ndio aina ya wabunge tunaotegemea kutulinda kwenye jumuia ni mamluki na vibaraka wa sera za kigeni.
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Sijapitia comments zake zote, lakini kama kweli anapigia debe hii free movement of labour na common visa basi hafai. Hafai kabisa. Tanzania kuna tatizo la ajira sana sana. Lazima kuwepo na juhudi za makusudi kulinda walau soko dogo la ajira lilopo. Labda kama special skills ambazo watu hawapatikani hapa lakini hii ya kusema tufungue milango ni kujitakia balaa.

  Very disppointed.
   
 5. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  we bwana acha kutujazia server, kama hujaelewa m-PM atakujibu kwa kukuelewesha kwa kituo wala hana noma. sasa unatuambia sisi tukusaidie nini? tumjibie??
   
 6. WILLY GAMBA

  WILLY GAMBA JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyo ni ni baharia,... wakishamaliza mafunzo ya hearth and safety and fire fighting wanapata document maalum ambayo Able bodied ataingia nchi yeyote meli itadock bila visa.
  Sasa hizo ndio belief zake na yupo kwenye haki yake. Swala hapa ni wataompigia kura wana view gani kuhusu hili.
   
 7. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kama ndio hivi basi hatufai huyo....sio mwenzetu:disapointed:
   
 8. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kweli kazi ipo
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,954
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  una matatizo wewe si bure! Kwa nini wafute?
   
 10. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Mkuu heshima yako sana, ninasema hivi ninaunga mkono idea ya kuwa na one viza kwa EAC kwa sababu hatuwezi kuwa in the EAC halafu tukasema hatutaki viza kwa wananchi wetu, it defeats the whole purpose ya Jumuiya kama hatuwezi kukubali elements kama hizi basi ni vyema tukajitoa kwenye Jumuiya kwa sababu ninataka kuamini kwamba tumepelekwa kwenye Jumuiya kutokana na kuwa politically progressive sasa hizi ideas za politics za fear zinatoka wapi?

  - Wa-Tanzania tunahitaji kujizaititi na kujifunza what it takes kwenda mbele, kama Kenya wanatuzidia kwenye utalii then we need to pull our sox na kuwafikia ili tutakapofungua mipaka tuwe kwenye balance, I mean Kenya wana Uwanja mzuri wa ndege na sisi tujenge pia, wao wana media coverage nzuri kwenye utalii na sisi tujitahidi kuwafikia, otherwise tutaishia kubaki kwenye siasa za defensive kila kukicha kulia lia kuhusu Kenya!

  - So yes nina-support fully Tanzania kushiriki kwenye one viza kwa sababu ni dhana muhimu sana kwenye kujenga uchumi, na kuondoa distrust among Nation's members, lakini ifanywe kwa utaratibu sana bila mbio mbio!


  William.
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Safi kwa maelezo yako.
   
 12. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hapo sijui ulikuwa unamaanisha nini lakini ..ngoja nikutakie kila la kheri kwenye uchaguzi wako wa ubunge
   
Loading...