Je ukiambatana na mwizi, je nawe ni mwizi?

Siasaniupendo

Member
Apr 2, 2012
20
7
Kipindi kile cha maduka ya kaya, nilikuwa natoka nyumbani mapema sana kudai kuwahi foleni. Ukweli haukuwa foleni bali ilikuwa tunawahi kwenda kuvuta KAYA. Sasa siku moja Baba akaniuliza kuhusu tabia na mienendo ya marafiki zangu. Nikamjibu wao ndio wanavuta, mimi hata sigara sivuti. Baba akasema "ukiambata na mwizi nawe ni ---". Juzi nikiwa katika shughuli zangu, nikaona police wameisimamisha gari moja, mara K-9 wakaletwa na si punde mzigo ukakamatwa. Mmoja wa abilia ndani ya gari akawaambia police "ain't got none to do with that s***t, I was gettting a ride" Police akamjibu "we just got this weed from the car you was in, everybody is suspect.
Kwanini naelezea yote haya? Juzi nilimsikia Katibu wa ccm, Mukama akisema sio kila mwana ccm ni FISADI. Akilini mwangu nikakumbuka msemo wa Baba pamoja na wa yule police.
"Samaki mmoja akioza katika pakacha, basi wote-----------" kwa maana hiyo CCM WOTE NI MAFISADI
 
Kaazi kwelikweli, namualika Mukama awe memba hapa bila kificho chochote akabiliane na nondo hizi maana alisema yeye ni 'clean'!
 
Kipindi kile cha maduka ya kaya, nilikuwa natoka nyumbani mapema sana kudai kuwahi foleni. Ukweli haukuwa foleni bali ilikuwa tunawahi kwenda kuvuta KAYA. Sasa siku moja Baba akaniuliza kuhusu tabia na mienendo ya marafiki zangu. Nikamjibu wao ndio wanavuta, mimi hata sigara sivuti. Baba akasema "ukiambata na mwizi nawe ni ---". Juzi nikiwa katika shughuli zangu, nikaona police wameisimamisha gari moja, mara K-9 wakaletwa na si punde mzigo ukakamatwa. Mmoja wa abilia ndani ya gari akawaambia police "ain't got none to do with that s***t, I was gettting a ride" Police akamjibu "we just got this weed from the car you was in, everybody is suspect.
Kwanini naelezea yote haya? Juzi nilimsikia Katibu wa ccm, Mukama akisema sio kila mwana ccm ni FISADI. Akilini mwangu nikakumbuka msemo wa Baba pamoja na wa yule police.
"Samaki mmoja akioza katika pakacha, basi wote-----------" kwa maana hiyo CCM WOTE NI MAFISADI

EXACTLY! No need of meandering language here.
 
Ndege wa aina moja huruka pamoja

If you want to know someone look at the characters of his friends!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom