Misaada, rushwa hii ya Mbaraka dau Kisiwani Mafia kwa kasi ya ajabu inaashiria nini ndani ya CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Misaada, rushwa hii ya Mbaraka dau Kisiwani Mafia kwa kasi ya ajabu inaashiria nini ndani ya CCM?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Apr 15, 2012.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaa ametoa komputa mbovu ktk maofisi ya gov ya Mafia kama ni rushwa ili kujijenga 2015 kupitia CCM.
  amechangia mamilion ya fedha ktk ujengwaji wa nyumba za ibada ndani ya 1. kwa mfano mil 10 kwa ujenzi wa miskiti wa Kirongwe na Juani.
  Anawahadaa akina mama kwa mikopo. inawezekana kabla 2015 kijana huyu atatumia billion kwa ajili ya kampeni yake hiyo chafu
  anatoa fedha kila sehemu ili kufikia lengo lake
  .kijana huyu tayari anapigiwa chapuo na kaka yake Dk dau ili kumpindua bulj.
  Dk DAU ni moja watu maarufu kisiwani kwetu.
  JEE CCM ITEGEMEE NINI 2015 KAMA RUSHWA ITAKUWA NDIO NGUZO YA MGOMBEA?
   
Loading...