Prof Baregu: Mkapa waombe radhi Watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof Baregu: Mkapa waombe radhi Watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Apr 15, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jambo Leo

  Ni kushindwa kwa sera zake za ubinafsishaji
   
 2. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,734
  Likes Received: 1,445
  Trophy Points: 280
  Dosama umebania sana habari,

  Lakini pamoja na dosari hiyo tujue hivi; Mkapa is too shallow but also too arrogant to do that!

  Therefore, with or without his apology we need to move foward, to rights the wrongs and that means uprooting magambas completely and start afresh.
   
 3. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  MKAPA HAS DONE GOOD JOB! Privatization, operation vijiji and Miezi kumi na nane ya kujifunga mkanda is part of the job perfomance/.
   
 4. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,734
  Likes Received: 1,445
  Trophy Points: 280
  In the context of history that's obvious. But the title is limited in scope to Mkapa's tenure only.
  Divided opinions is the norm so I understand if you see a "good job in privatization".
   
 5. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,734
  Likes Received: 1,445
  Trophy Points: 280
  Blame culture is killing Europe. Irresponsibility culture killed Africa.
   
 6. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Watanzania wenzangu, sera za ubinafsishaji iliasisiwa na CCM mwishoni mwa wakati wa Mwinyi, wakati huo chairman sijui aikuwa nani, na zikaanza kutekelezwa kipindi cha Mkapa... For whatever the failures, ku single out Mkapa kwa utekelezaji wa maamuzi yaliyokwishamuliwa na chama chake kabla si sahihi. Chama kilichomuweka serikalini kutekeleza sera zake hakitakiwi kuomba radhi?

  Bila ushabiki, ilikuwa rahisi kiasi gani kununua kreti ya bia wakati wa sherehe wakati ule? Na cement je? Mabati? Ingawa kuna great failures za ubinafsishaji, kuzijadili peke yake hakuna maana ya no success.
   
 7. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mbalamwezi,
  Uko sahihi katika kufikiri kuhusu jambo hili. Failure kubwa ni katika kupanga, tusitarajie utekelezaji mzuri na wenye manufaa kupatikana Kutokana na mipango mibovu.

  PSRC walisimamia Ubinafsishaji wako wapi? Mkapa aliwaagiza wavuruge zoezi lile?

  Watanzania waliobinafsishiwa baadhi ya Makampuni na Mashirika wamefanya nini kuyaendeleza? Nini tatizo? Tuanzie hapo.
   
 8. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,976
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Wadau ni ukweli kuwa Mkapa kuna mazuri aliyoyafanya kwa taifa. Mfano kuimarisha uchumi wa ndani fedha ikawa na thamani na purchasing power ikawa juu, vilevile ujenzi wa miundombinu hasa barabara pia ulipaji wa madeni ya ndani na nje. Haya yote ni mafanikio ya wakati yake, lakini haimaaninshi kuwa hakuwa na mapungufu. Kila kiongozi ana mapungufu ila kwa mtazamo wangu mapungufu kwa uongozi wake yanatucost hadi leo hii. Anagalia failure kwenye privatization, uuzaji wa nyumba za serikali, mikataba mibovu ya madini, kashfa ya radar (leo hii chenji imerudi bilioni 73), uchafu wa EPA pia hawezi jiondoa na Balali wake. Ukiyaangalia haya yote yanafunika mafanikio yake na hasa yale ambayo hupita kama hali ya uchumi. Angalikuwa na busara, alipaswa kuomba radhi wadanganyika badala ya kujifanya anatunisha misuli
   
 9. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  ofcourse mkapa has to be blamed as far as privatization is concern, sera zake zilikuwa mbovu ingawa hii ilitokana na utekelezaji wa presha za akina world bank pia imf ila ili libwana mkapa lilitake advantage ya kujinufaisha wakati wa zoezi ili hence zoezi ili likaishia kukwama pia kuwa full of magumashi,
   
 10. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Wanakuwa hivyo kwa sababu sheria zinawalinda kuwashtaki, la sivyo asingekuwa mnene vile, na angekuwa na heshima. Hizi sheria zibadirishwe. Marais wastaafu wawe wanafikishwa mahakamani kwa makosa waliyofanya.
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Sera za ubinafsishaji hazikuwa na mashiko yoyote. Zilifakamiwa kwa pupa na matokeo yake tumeyaona na tunazidi kuyaona. Mkapa analalama eti management zilikuwa mbovu, sasa hata hizo managament za wageni mlizoziajiri kwa mamilioni ya pesa za walipakodi zilitoa output gani? twende mfano wa Tanesco na wale makaburu, ni kipi hasa spesho walichofanya?? kuna hao walikuwa City Water..walikuja na nini hasa? sanasana tumeishia na kutumia pesa zaidi na muda kwenda mahakamni.

  Tatizo la kutopafomu kwa mashirika ya umma huezi ukaenda kuyagrupu kirahisi hivyo. Hata kama management ni mbovu, ni kweli kulikosekana njia mbadala kuzibana ziwe output-based? mtoto akikojoa kitandani ndio unakitupa asubuhi? au ndio ile mentality ya 'don't care' au ni kutudanganya tu wananchi wakti suala lilikuwa liwe hivyo kufurahisha mabwana-pesa (Western financial restrictions colonial tools)? Mzee Mkapa at least alitakiwa kuwa na audacity ya kusema ukweli na ku-admit makosa. Kutetea solution ambayo imefeli(everyone is out there to witness the failure) anaishia kuonekana hamnazo bin zumbukuku.
   
 12. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kwani ni CCM nayo ndiyo ilimlazimisha wajibinafsishe KIWIRA kwa being chee? Toka alipoanza kujipendelea mambo,ndiyo system nzima iliplamua kufanya mambo ya hovyo yasiyo na tija Kwanguvu taifa. Ukichunguza utaona jinsi uharibifu na ufujaji mkubwa ulitokea term yake ya pili tenant baada ya kifo cha Mwalimu. Hili nalo lilituondolea imani na kufuta mazuri yote ya Mkapa.
   
 13. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,734
  Likes Received: 1,445
  Trophy Points: 280
  100% correct.
   
 14. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kwani ni CCM nayo ndiyo ilimlazimisha wajibinafsishe KIWIRA kwa bei chee? Toka alipoanza kujipendelea mambo,ndiyo system nzima ilipoamua kufanya mambo ya hovyo yasiyo na tija Kwa taifa. Ukichunguza utaona jinsi uharibifu na ufujaji mkubwa ulitokea term yake ya pili tena baada ya kifo cha Mwalimu. Hili nalo lilituondolea imani na kufuta mazuri yote ya Mkapa.
   
 15. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kifupi ni kwmba alitumia formula ya UKIJUA KUPOKEA NI SHARTI UJUE KUTOA.FORMULA HII INA MADHARA MAKUBWA SANA KWA MRITHI WA UTAWALA SABABU NI USIRI WA MAMBO MENGINE BINAFSI.
   
 16. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  labda mtoa mada angetudondoshea hapa nondo yote kisha ndio tukacoment
   
Loading...