Kumbe tangu 1985, Tz imepoteza fursa za ajira kwa asilimia 400!

Weka hata Executive Summary ya hiyo ripoti ili tujiridhishe. Mi nadhani nafasi zilizoptea zaidi ya hizo...
 
sijawahi sikia rais JK akihutubia wananchi na kutoa takwimu za ajira,wasiokuwa na ajira,uchumi kukua,au kuporomoka,pato la taifa,deni la nje na la ndani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!ni wakati muafaka kwa watanzania kuchukua hatua
 
sasa kama kivanda vyote watu wamevinunu na kugeuza magodown na yards za kuwekea mizigo kutoka nje unategemeakupata ajila hapo?
 
Back
Top Bottom