Naomba hoja zenu "mkapa na wanyama nani bora?"

Status
Not open for further replies.

Siasaniupendo

Member
Apr 2, 2012
20
7
Haingii akilini kumwona Mzee Mkapa akuhudhuria midahalo/majukwaa ya siasa despite of machafu yote aliyotenda wakati akiwa ikulu. Kashfa ya Mgodi wa kiwira, ilitosha kumpeleka huyu mzee SEGEREA maisha.
Ni sawa na wanyama, wakibarehe/kuvunja ungo, hawana heshima wala taadhima. Wanachojali ni matamanio ya mwili.
Kibri ya Pesa na Kinga inamnyima huyu mzee staha sawa na wanyama juu ya tupu zao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom