CHADEMA wataka uchaguzi wa wabunge Afrika Mashariki usitishwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wataka uchaguzi wa wabunge Afrika Mashariki usitishwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chitalula, Apr 14, 2012.

 1. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimeandika barua kumtaka spika wa bunge kusitisha mchakato wa kupiga kura kwa kuchagua wabunge wa afrika mashariki.

  chadema kimemtaka spika wa bunge kuitisha kikao cha kamati ya marekebisho ya kanuni ili kubadilishwa kaanuni hizo zilizopitwa na wakati.


  chadema kimepinga mchakato huo kuendelea mpaka pale mabadiliko ya msingi ya kanuni za uchaguzi huo yatakapofanyika,
  chadema inapinga ccm kupewa nafasi 8 huku wapinzani wakipewa nafasi moja kugombania, ikiwa ccm katika uchaguzi wa 2010 hawajaaminiwa na wananchi kwa kiasi hicho wanchojipendelea cha kujipa viti nane kati ya tisa

  Amesema pia wataamua cha kufanya kama maombi hayo hayatakubaliwa.
  hayo yamesemwa na john mnyika dodoma. itv
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sioni namna ambavyo ombi hili linaweza kukubaliwa
   
 3. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mkuu umenena vyema, kwa magamba hakuna litakalokubaliwa hapo
   
 4. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  "Kumtaka spika kusitisha"
   
 5. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono hoja hapo lazima iwe 50/50 nchi hii ni yetu wote kwanini tubaguane? Tuache unazi ewa vyama taifa kwanza.
   
 6. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  kwani CCM wagiriki?
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hivi huu utaratibu ni wa Tanzania au ni wa Jumuiya ya Afrika Mashariki? Kuna siku nimesoma kwenye web site ya EAC nikaona haka kautaratibu. Hebu tupitie huko tujiridhishe. Sina uwezo wa kwenda huko na kuilink hapa kwa kuwa kasimu kangu kanatoka kwa Hu Jintao. Kama kuna mtu atusaidie ku ilink hapa web site inayotoa utaratibu.
   
 8. K

  Keil JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mimi nilikuwa ninajiuliza sana, kwanini upinzani wanapewa nafasi 1 tu? Kigezo gani kinatumika kufanya allocation ya viti vya wabunge wa EALA among political parties? I thought kwamba nafasi za wabunge wa EALA zinaendana na idadi ya wabunge mjengoni au kura za urais.

  Bunge kwa sasa lina wabunge 347, kwa mgawanyo ufuatao kulingana na takwimu za kwenye mtandao wa Bunge:

  CCM - 259
  CHADEMA - 48
  CUF - 35
  NCCR - 4
  TLP - 1
  UDP - 1

  Kwa hesabu za uwiano wa idadi ya wabunge Bungeni, Wapinzani walitakiwa kupewa nafasi 2 kwa sababu composition ya wapinzani Bungeni sasa hivi ni 25%, while 75% ni CCM.

  Kwa kutumia hesabu hiyo hiyo, allocation ya viti 9 vya wabunge wa EALA, wapinzani walitakiwa kupewa nafasi 2 na CCM wachukue nafasi 7.

  Kama kigezo ni kutumia kura za Urais, uchaguzo uliopita JK alipata 61% na wapinzani walipata 39%, bado hata hapa upinzani una haki ya kupata viti 3 na chama tawala viti 6.
   
 9. K

  Keil JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu Kimbunga,

  Huu utaratibu unakwaza nchi zote za Jumuiya. Kesha kwenye uchaguzi wa EALA uliopita nakumbuka waliwahi kufungua kesi kwenye mahakama ya Afrika Mashariki wakilalamikia utaratibu wa kuchagua wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Sikumbuki vyema hukumu yake, lakini walalamikaji walishindwa japo sina details za hukumu nzima.
   
 10. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Bila kuonyesha kuna shida sehemu fulani usitegemee CCM wakakusemea. Kwa hili naunga mkono hoja.
   
 11. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata kama ombi la CDM halitafika, lakini ujumbe utakuwa umefika
   
 12. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndiyo, asitishe kwa kukiuka kanuni, we hutaki?
   
 13. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa kutumia kanunin hii itasaidia, lakini hata hivyo, inabidi iwe nusu kwa nusu.
   
 14. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,399
  Trophy Points: 280
  safi CHADEMA chama makini!!!
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  sasa hapa ndipo huwa natibukaga; kama ni kweli ndio pendekezo lao basi tutarajie kuwa endapo CCM hawatokubali kubadilisha kanuni hizi basi CDM itamuondoa mgombea wake in protest! Kama mgombea ataendelea kuwepo basi hoja kuwa kanuni archaic inapoteza maana!
   
 16. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hija inamshiko tatizo ni haowatumia lugha ya lusinde wataelewa maana ni ving'ang'anizi watasema kuwa "kanuni imezingatiwa" pamoja na kuwa watanzania hawakuwa chagua kwa kiwango hicho
   
 17. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Hizi kanuni zimetungwa leo?? Siku zote mlikuwa wapi!?
   
 18. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa mwenye kufahamu hili naomba anisaidie.
  Lazima mgombea atokane na chama cha siasa? Hapa hakuna issue ya mgombea binafsi?
   
 19. O

  Orche Senior Member

  #19
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ukweli unasimama kuwa CDM wana hoja ya msingi, Mungu ibariki Tanzania!
   
 20. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Unajua hata mimi najiuliza hivi propotionality ikoje? au kwa sababu ccm ilikuwa ya kwanza kusajiliwa basi inapewa wabumbe 8 regardless kama upinzani wakiwa 90%? naona kama hamna propotionality kwa vigezo vyote!
   
Loading...